Generation ya kuanzia 1990's ndiyo italeta ukombozi wa kisiasa hapa Tanzania

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,796
44,891
Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people.

Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s

Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote.

Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana.

Pendekezo vyama vya upinzani makini wapeni vijana nafasi.
 
Nimecheka sana na kusikitika! Wengine tunafikiria hii generation itaishia wapi wewe ndio unaona wakombozi? Generation bora imekuta baba zao wanateketeza nchi, hadi generation hii (generation bora) inazeeka bado baba zao wanateketeza nchi. Kifupi generation bora nchini haikupata nafasi, kwasababu hadi leo generation ya 50s ndio inafanya maamuzi.
 
Unaiongelea hii generation inayo vaa suruali chini ya makalio?
Wakivaa fulana nyeusi zenye kuwaka maeneo ya vifuani. Muda wote wanaongea na simu au wanasikiliza radio mpaka wanagongwa na malori njiani, halafu wanavaa sana suruali za kubana na vinywele kama fidodido ukiwakuta wamepigwa na jua muda wote wanakuwa wanavichezea vinywele vyao kwa sababu kichwa kizima kinawasha.

Wanachekesha kweli kweli.
 
Back
Top Bottom