Leo kesi imechelewa kuanza na pamoja na kuchelewa kuanza Jaji anaomba dakika 15 akajiridhishe na kutoa maamuzi baada ya utetezi kukataa kuhojiana na shahidi wa kwanza, lakini pia watuhumiwa kusema...
Masoud Kipanya, wengi tulianza kumfahamu miaka ya mwishoni mwa 1990 na miaka ya mwanzoni mwa 2000.
Kadiri miaka ilivyokwenda ndipo Masoud Kipanya aliendelea kuwa maarufu na kujulikana katika...
JR is not stupid kama mnavyo fikiria
anazo paper trail ambazo zinaweza kuiangusha serikali. Na hapa siongelei email zilizokuwa humu JF kisha zikaondolewa. By paper trail nina maanisha nani...
Jana 15/9/2021, Tulishuhudia ACP Ramadhan Kingai akitoa ushahidi mahakani juu ya kesi ya kigaidi inayomkabili Mbowe na wenzake, Tuliona namna alivyowashiwa Moto wa mahojiano na mawakili wa utetezi...
Kila siku imayoenda kwa Mungu tunasakikia malalamiko ya wananchi juu ya askari polisi kufanya vitendo vya kikatili dhidi ya raia. Lakini waziri mwenye dhamana yupo kimya tu hatoi tamko wala...
Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA...
Ni wazi kuwa rais Magufuli aliipendelea sana wilaya ya Chato katika kupeleka maendeleo. Alijenga uwanja wa ndege wa kimataifa, alijenga hospitali kubwa ya rufaa ya kanda, alijenga chuo cha Veta...
Freeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo...
Kuna hofu kwa raia wazalendo kwamba kuachiwa na dpp watuhimiwa wa ufisadi kunakotokea sasa bila kuhusishwa mahakama huenda kukapelekea madai ya mabilioni toka hazina kuu ya taifa.
Tuhuma...
Jeshi la polisi Tanzania wala halina shida yoyote,liko poa sana.
Shida ya jeshi la polisi ni latina.
Shida ni CCM,
Shida ni serikali iliyopo madarakani.
Hilo afrika kusini wakate wa makaburu...
Kutoka Iringa vurugu kubwa muda huu, Polisi wapiga mabomu ya machozi kutawanya machinga. Hii ni kufuatia machinga kurudi kwenye maeneo yaliyokatazwa kufanyia biashara.
Hii imetokana na Machinga...
Friday, November 11, 2011
SOKO LA KIBAIGWA JEUPEEEE!
[*=center]Friday, 11 April 2014
[*=center]Written by Mjengwa Blog
[*=center]Email
[*=center]Tuma Maoni
[*=center]Share on facebookShare...
Watu watatu wazima wanaume wamevalia kofia za CCM na na picha ya mh Magufuli mfano wa Kitambulisho kila mmoja wanapita karibu na machinga hapa jariakoo jirani na sheli ya Big Bon.
Kundi la...
Mheshimiwa Rais, mimi ni Mstaafu Serikalini. Niliitumikia Serikali kwenye Idara ya Afya kwa muda wa miaka 39 mpaka nilipostaafu mwaka 2019. Katika kipindi chote hiko, nimesaidia kuwalea Vijana...
Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza.
Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila...
Baada ya mabomu kurindima siku nzima Jpili iliyopita katika jimbo la Iringa Mjini(Kwa mchungaji Msigwa) maeneo ya mashine tatu, leo Meya wa manispaa Bwana mwamwindi alifanya kikao na viongozi wa...
Wakuu,
Kama nilivyowajuza jana mkuu wa mkoa wa Mwanza anaendelea kulivuruga jiji baada ya kuwaambia machinga waliofukuzwa Makoroboi kwa mabomu warudi.
Kutokana na ukosefu wa ajira machinga...
Kuna mabomu yanapigwa eneoo la msikiti wa ijumaa Nyerere road hapa mwanza na watu wanatawanyika ovyo. Lakini watu wenyewe ni wachache sana tutawalete habari zaidi kuhusu tukio hili.
Updates...
Ni bora niache kufikiri.,bora niache kutafakari maana kila ninapofikiri najikuta katika maumivu makubwa.,maumivu yanayotopokana na kuujua ukweli wa hali halisi ya maisha ya watanzania (mimi...
Rais Hussein Mwinyi amefanya Uteuzi wa Viongozi mbalimbali leo Septemba 17, 2021. Silima Juma Khamis ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji na Utumishi
Wengine walioteuliwa ni Lt. Col...