Wanaume wametutawala muda mrefu bila suluhisho la matatizo mengi, tumuunge mkono Rais Samia atatuvusha

Landson Tz

JF-Expert Member
May 8, 2011
294
221
Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza.

Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu kwa muda mrefu.

Kuwa na Rais mwanake kwa nchi yetu ni kama mapinduzi (maana haikutarajiwa) hivyo tuwe na matumain kuwa atafanya mapinduzi ya kweli kiuchumi na kijamii.

Kumuunga mkono ni pamoja na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake kwake na kwa taifa kwa ujumla. Na serikali ituwezeshe pale tunapohitaji uwezeshwaji.

Landson Tz
 
Wanaume wapo Upinzani huko chama cha kijani hatuwaoni.
Naona sasa mnahalalisha mfume jike wakati hata utawala wa kinyumbani mwanaume ndio kichwa.
Mke ni mpishi tu na majukumu mengine . Mwanamke huwezi kunipangia naman ya kuongoza familia.

Labda Nyerere na magufuli hao ndio walikuwa wanaume huko CCM
 
Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza. Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu kwa muda mrefu.

Kuwa na Rais mwanake kwa nchi yetu ni kama mapinduzi (maana haikutarajiwa) hivyo tuwe na matumain kuwa atafanya mapinduzi ya kweli kiuchumi na kijamii.

Kumuunga mkono ni pamoja na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake kwake na kwa taifa kwa ujumla. Na serikali ituwezeshe pale tunapohitaji uwezeshwaji.

Landson Tz

Nadhani kikubwa mama nikuonyesha mfano wa utendaji wake, haya mengine yote yatafuata, isiwe maneno tu.
 
Kwa akili zako unadhani jinsia ndio inaongoza nchi??
Na huyo mwanamke akishindwa pia mtataka raisi awe shoga sio??
 
Yani jinsia ndiyo imekua kigezo cha kuwa kiongozi kwenye hili taifa???

huyu ni kiongozi wa nchi au ni mwanaharakati wa jinsia???
Yaa na mimi nimeoana kuna ka uanaharakati wa kijinsia hapa, wanaume kaeni mkao wa kuanza kuingia jikoni na kufua, bila kusahau kupiga deki na kuogesha watoto, mambo yamekuwa vice-versa.......sasa watoto tutaanza kumpokea mama akirudi kazini, mama huyo huyo!
 
aendelee kuwajaza ujinga tu ila awe makini atasababisha violence.
 
Kiongozi anapimwa based on merit & competency sio gender iyo kudra iliyompatia nafasi inabidi aonyeshe uwezo sio kulialia ili abebwe kwa bembeo la jinsia
 
Jinsia haijawahi ongoza nchi kinachoongoza nchi utashi na uwezo wa kiongozi

Kati ya wanawake wenye akili hua umo nakuona tu, achana na wanaojishukushuku wakati anaapishwa alijitaja mimi mwanamke, lakini karudia mara nyingi sijui haamini kama kawa Rais au vipi
 
Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza.

Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu kwa muda mrefu.

Kuwa na Rais mwanake kwa nchi yetu ni kama mapinduzi (maana haikutarajiwa) hivyo tuwe na matumain kuwa atafanya mapinduzi ya kweli kiuchumi na kijamii.

Kumuunga mkono ni pamoja na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake kwake na kwa taifa kwa ujumla. Na serikali ituwezeshe pale tunapohitaji uwezeshwaji.

Landson Tz
You are doomed, nobody will volunteer to support you to achieve your personal advancement irrelevant to be cherished in the community
 
Bila Katiba mpya ni sawa na kubadilisha mafuvu tu.

Imagine msiba ulioikuta CCM ungeikuta CHADEMA ikiwa imeshika dola rais angekua Salum Mwalimu🤗

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan💛💚
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom