ZIARA TUNDURU
Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini.
Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO)
Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa...
Nahangaika kuangalia safari za Marais wa Afrika wanaokwenda kwenye kikao cha UN sioni wakitumia usafiri wa Kenya Airways wakati ndio usafiri pekee wakutoka Afrika yadi Marekani moja kwa moja...
Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli akiwa na viongozi mbali mbali mara baada ya kushuka kwenye kivuko cha MV Misungwi wakati akitokea Chato mkoani Geita.
Rais...
Wakuu habari,
Naomba moja kwa moja niwe mkweli juu ya hisia zangu kuwa nimefurahia mno utenguzi wa Nape kwenye nafasi yake ya uwaziri.
Sababu moja wapo ya furaha yangu ni kuwa sasa Nape ndio...
Tukiwa maeneo yetu tunaambiana kuwa tusikosoe awamu hii kwa sababu ni awamu ya...
1. Dini yetu
2. Jinsia yetu
3. Kabila letu
4. Asili yetu.
Hapana. Mimi sikuwa nampinga Hayati Magufuli kwa...
Na Mwandishi Wetu.
Vunjo, Moshi.
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan...
Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza...
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu.
Nape ameyasema hayo...
Tumezoea kuonyeshwa Rais Samia anapotua Airport mbalimbali akiwa na msafara wake. Hii safari ya Marekani hatujaonyeshwa akiondoka wala akitua Marekani?
Mimi nataka kujua kaenda na ndege gani na...
Picha ya kwanza ni mgombea kwa tiketi ya CHADEMA, Bw. Dismas Luhwago akirejesha fomu za uteuzi kugombea kiti cha Udiwani Kata ya Luduga Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe, mkoani Njombe na ya...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imehitimisha usikilizwaji wa kesi ya jinai namba 105 ya mwaka 2021, inayomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake...
Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi...
Mwanachama wa Chadema kamanda Dismas Andrea Luhwago wa kata ya Luduga wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe amejitoa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea Udiwani wa kata hiyo.
Dismas amekula kiapo...
Nanukuu
"Wameanza kutuchokoza, Kuandika kwenye vigazeti kuwa Samia hata gombea, nani kasema."
Hapa nadhani mwenyekiti ameteleza maana gazeti lililoandika habari hii ni gazeti la Uhuru...
KATIBU MKUU UVCCM KENANI KIHONGOSI ASEMA UMEME NI 27.000 na NGUZO BURE NCHI NZIMA
Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Kihongosi leo ameendelea na ukaguzi wa Utekelezaji wa Ilano ya Uchaguzi ya...
Kwa vile ninampenda sana Rais wangu. Napenda niwashauri hili watu wake wa karibu.
Rais amekuwa haeleweki ni wapi hasa makazi yake. Safari za Dar - Dom zimekuwa nyingi sana. Na anapaa angani, ina...
Hivi sasa kuna makundi na makundi ya viongozi na wafuasi wa CCM kila kukicha wanazurula kwa kigezo cha kukagua miradi, kitu cha kujiuliza haiwezekani viongozi wawili wakakagua miradi badala ya...
Katika kile serikali inachoamini kufufua uchumi ulokwamishwa na janga la UVIKO-19, mapema mwezi ulopita wa August iliandika barua ya kuomba mkopo IMF.
Katika barua hiyo ambayo iliandikwa na...
Ni kawaida kwa viongozi wakubwa nchini wanapoteuluwa kuiona fursa ya uteuzi nakusau umuhimu wakulinda na kuhifadhi hadhi ya juu aliyopewa.
Kumteua mkuu wa usalama kwenye cheo chochote kunatua...