Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Baada ya Rais Samia kuhutubia Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York nchini Marekani kwa kutumia lugha ya Kiingereza safi kilichonyooka, kuna wajinga fulani huku...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
E. UMAUTI Siku ya tarehe 29. 10. 2025 Elisha Mwakafwaga akiwa njiani kuelekea nyumbani kwa dada yake alipatwa na mkasa wa kupigwa risasi, eneo la tumbo kisha akawahishwa hospitalini. Alifanyiwa...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Inasemakana Ikulu ya Samia ilituma wasaidizi wake tena Gereza la Ukonga kuonana na Tundu Lissu Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba mama yao yupo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja...
28 Reactions
58 Replies
2K Views
Yaaan Mtu kwa niaba ya Serikali anajitetea kwa kusema " et katika Hatua hii hiyo ni Kamati yamambo ya Nje na ya maendeleo pekee ". Jinga linaenda mbali linajitetea kwa kusema "Mchakato...
0 Reactions
1 Replies
179 Views
Tunaenda kupoteza marafiki na washirika wa maana wa maendeleo, (US na nchi za EU) kwa tamaa ya madaraka ya watu wachache. Inakadiriwa kuwa biashara kati ya Tanzania na Urusi ni $307m tu kwa...
22 Reactions
101 Replies
1K Views
Haongei sana bali Anatekeleza sana! Hana papara Ila anafanya kila kitu Kwa ustadi mkubwa. Sio mtu wa kupanic Ila anaamini kwenye anachofanya Amewekeza sana kwenye kupanga mikakati kabambe na...
15 Reactions
176 Replies
10K Views
Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), imegoma kuidhinisha mabilioni ya shilingi yaliyolenga kutumika kujenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Serengeti...
6 Reactions
11 Replies
418 Views
Kuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni 1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni...
12 Reactions
79 Replies
7K Views
Sio mtaalamu wala msomi wa maswala ya Diplomasia lakini haizuii kutumia akila ya kawaida kufikiri na kung'amua mambo Tangu mwaka jana baada ya uchaguzi, Tanzania na viongozi wake waliandamwa sana...
0 Reactions
3 Replies
121 Views
Haya yamesemwa Leo na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TANAPA William Mwakilema huko Mbeya. Kwa mwezi mmoja tu wa July 2022 Tanzania imepokea Watalii 235,000 ambapo wamekusanya mapato ya Bilioni 47...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Atukuzwe YUDA ISCARIOT TEAM YUDA YAJA
3 Reactions
4 Replies
222 Views
Nawapeni tu angalizo ndugu Zangu wa Jamii Forums tulipo sasa hakuna Siasa wala Dini bali kila Mfumo umekaa kwenye nafasi yake Muwe waangalifu wa Maneno na Matendo Mlale Unono 😃
23 Reactions
116 Replies
8K Views
Ndugu zangu Watanzania, Heshima aliyonayo na aliyojijengea na kujiwekea Rais wetu katika Dunia hii ni kubwa sana ambayo mtu binafsi na genge lako ama na kikundi chako cha chuki binafsi ,wivu...
7 Reactions
42 Replies
681 Views
Inawezekama kabisa ikawa coincidence lakini angalau wazo langu lilikuwa linashabihiana na Likolola na Liberatis Mwangombe. Leo wamekutana naye Ted Cruz. It was an honor to meet with Senator...
29 Reactions
108 Replies
2K Views
Jukwaa la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF), Mara nyingi jukwaa hili hutajwa pia kama "Davos ya Urusi" kutokana na uzito wake si mkutano wa kibiashara wa kawaida bali ni kitovu kikuu...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Hayo ndio maneno ya Mwigulu, nadhani aliyemwambia kumpiga fix . Hivi kuna mtu wa kupoteza muda kufuatilia ziara ya Mwigulu? Ikiwa hakuna anayemfuatilia Chura kiziwi ndio uwe wewe?
7 Reactions
22 Replies
288 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 5, 2026 akizungumza na wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa amesema serikali itaangalia sheria zilizopo kwenye maadili kuhakikisha mianya ya upigaji...
5 Reactions
14 Replies
334 Views
Kama ambavyo tume ya uchunguzi wa matukio ya oct.2025 ilivyofeli nayo hii tume mpya itafeli kwa sababu uongo lazime ufeli sehemu ambapo ukweli unajulikana. Tunajua ukweli kwamba mambo yote haya...
9 Reactions
36 Replies
527 Views
Japo mie sio mfuasi wa chama chochote cha siasa,lakini kwa hizi dalili nazoziona,hiki chama kitaanguka muda wowote kutokea sasa na kuacha ombwe kubwa la uongozi. Na kwa kuwa upinzani wa nchi hii...
17 Reactions
81 Replies
1K Views
Back
Top Bottom