Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi Nimeona majina ya wagombea Uspika wa Bunge la JMT Thread 'Vigogo Sita wa CCM kuwania nafasi ya uspika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania' GE2025 - Vigogo Sita wa CCM kuwania...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Wanabodi, Habari za Jioni!. Niko kwenye social function fulani, MC wa Sherehe hii ni mmoja wa MC wakongwe nchini na mahiri, ila aliniboa alipotangaza rasmi kuwa miongoni mwa wageni waheshimiwa...
7 Reactions
80 Replies
12K Views
Hii ni kwa sababu Jukumu la Ulinzi ni la KILA Mwananchi. Kingine ni hiki hakuna uzembe uliozidi kipimo kama ule wa kuibiwa mali zako kibwege bila juhudi zozote za kulinda Kwa mfano, Kwenye...
16 Reactions
28 Replies
492 Views
Kwanza kabisa niseme mimi binafsi sifurahii kabisa pale mtu anapokufa.Sifurahii zaidi pale anapokufa bila kutubu.Hata hivyo kuna desturi imejitokeza hapa nchini ya watu kufurahia watu...
1 Reactions
0 Replies
128 Views
Serikali mnataka kulazimisha Watanzania wote tuache kazi na kusikitika nanyi kupoteza marafiki wenu lakini watanzania wengi hatuna muda tunataka democracy na katiba mpya. Hatuta waonea huruma...
3 Reactions
6 Replies
174 Views
Unaweza kudhani unaota lakini hii ndio hali halisi ya Tanzania kwa sasa. Shule ya msingi ya Mivinjeni iliyokuwa ikifundisha kwa lugha ya kiingereza imeuzwa kwa Matajiri na kusababisha usumbufu...
10 Reactions
55 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Dunia ina unafiki mwingi sana . Ina mambo ya ajabu na hovyo Sana. Kama Mkuu wa Nchi na Rais wa Nchi usipokuwa imara ,makini ,mwenye msimamo imara na Thabiti unaweza jikuta...
4 Reactions
80 Replies
1K Views
Sasa Tanzania inaenda kushuhudia aibu ya Karne Miundombinu ya Isimani ni mibovu. Ndo kielelezo cha Uongozi wa CCM. Kila mwenye akili timamu atahoji William Lukuvi kaifanyia nini Isman kwa miaka...
11 Reactions
30 Replies
784 Views
TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia...
3 Reactions
31 Replies
591 Views
Wanabodi Hii ni makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe la leo. Kwa mwaka huu, kufunga kwa Wakristo kipindi cha Kwaresma, kumekwenda sambamba na mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa ndugu zetu Waislamu...
19 Reactions
93 Replies
2K Views
  • Featured
Mashahidi 43, akiwemo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele, wanatarajiwa kutoa ushahidi katika kesi...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Kuna tabia inayozidi kujitokeza na kukua siku hadi siku katika jamii—wananchi kuonyesha kufurahia vifo vya baadhi ya viongozi au wanasiasa. Ukichunguza kwa kina, hali hii inachangiwa kwa kiasi...
5 Reactions
8 Replies
249 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli naumizwa, kusikitishwa na kusononeshwa sana kuona ,kusoma matusi anayotukana kada wa CHADEMA aitwaye SATIVA. Huyu mtu amekuwa akitukana matusi machafu sana...
4 Reactions
89 Replies
2K Views
Wakati watumishi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchi nzima wakiwa na madeni juu ya stahiki zao, Makamu wetu JOHN HECHE analipa hadi laki 5 kwa usiku mmoja kulala katika hotel za hadhi ya...
5 Reactions
26 Replies
452 Views
DKT. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA MHE. LUKUVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaomba Watanzania waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera...
1 Reactions
15 Replies
304 Views
Ndugu zangu Watanzania, Marehemu William Lukuvi Anatarajiwa Kuagwa Kishujaa katika Mikoa Mitatu . Ambapo Mwanasiasa Huyo Nguli ,Mkongwe ,maarufu na Mashuhuri hapa Nchini. Anatarajiwa Kuagwa...
1 Reactions
40 Replies
1K Views
Sisi mawakili Maduhu William, Nashon Nkungu na Paul Kisabo tumefungua shauri la Kikatiba ambalo ni Shauri No. 7300dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza, Mkuu wa Gereza la Ukonga na Mwanasheria...
11 Reactions
23 Replies
1K Views
HILI LIWE FUNZO KWA MAFWELE NA GENGE LAKE. SSP Christopher Bageni atanyongwa hadi kufa. Ndivyo mahakama ya rufaa ilivyoamua. Maamuzi ya leo ni ya mwisho katika mwenendo wa kesi yake. Hana pengine...
12 Reactions
23 Replies
955 Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche ameitembelea familia ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Iringa, Frank Nyalusi aliyefariki Septemba 19, 2025 katika Hospitali ya rufaa ya Iringa...
6 Reactions
15 Replies
344 Views
Ajali ilivyobadili maisha ya aliyekuwa mfanyakazi mradi wa ujenzi Bwawa la Nyerere, alia na fidia kiduchu ya WCF. Asema 'bora ningekufa' Ally Omari Mbelwa ambaye alikuwa fundi chini ya usimamizi...
5 Reactions
3 Replies
340 Views
Back
Top Bottom