Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hali imebadilika mahakamani baada ya Kibatala kuomba Mashahidi wanne wasitajwe mahakamani kwa Usalama wao. Hali hii imepelekea Mawakili wa Jamhuri kuomba kesi iarishwe au la sivyo isikilizwe bila...
15 Reactions
142 Replies
15K Views
Kiukweli akina mama lishe, wakaanga chips, wauza mboga mboga, wauza supu za utumbo, wachoma vitumbua nk hawa siyo wamachinga bali ni wajasiliamali wadogo wanaotambuliwa na Ilani ya CCM na hata ile...
3 Reactions
4 Replies
845 Views
Leo Sept. 23, 2021 saa nane kamili mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam itatoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba namba 21/2021 iliyofunguliwa na Mwenyekiti...
7 Reactions
76 Replies
11K Views
RAIS SAMIA MWANZO MZURI ANGA ZA KIMATAIFA Na Malya Ngumu Charles Ilisemwa huko zamani na wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts”. Kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika hali ya maisha ya watu yamebadilika na imezidi kuwa mbaya zaidi, hali ya uchumi imeporoka sana wala hakuna pa kupumulia, na ni kweli vitu vimepanda bei kuliko mwanzo na...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatili Sana kesi zilizofunguliwa Kisutu, Mahakama Kuu na Mahakama ya Mafisadi. Mara nyingi Mawakili wa serikali uongozwa na wakili ambaye utambulika Kama "Senior state attorney", kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Utashangaa viongozi waliopatikana kwa njia za kidemokrasia, wizi wa kura, mapinduzi na ving'ang'anizi madarakani eti wote wanajiita marais waliostahili kutumia kodi za mataifa yao kuhudhuria...
17 Reactions
38 Replies
3K Views
Najua mfumo tulionao umewaumiza Sana na kuwatupa nje ya keki ya taifa. Hivyo hawaumii tu Kama sisi raia wa kawaida Ila wao uumia Mara mbili. Shida wapinzani wanaamua Mambo kwa hasira na...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Dhana ya kughushi vyeti kama ilivyotumika kwenye zoezi la kuwaondoa watumishi ni kwamba; ama walifanya udanganyifu kwa kughushi vyeti n'a kunufaika navyo kwa kujipatia ajira au kupanda vyeo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Demokrasia siyo tu kufanya mikutano na maandamano kama Chadema wanabyoamini bali demokrasia ina maana pana. Kitendo cha Tundu Lisu kuruhusiwa kuja kugombea urais wa JMT akitokea nchini Ubelgiji...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Ilisemwa huko zamani na wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts”. Kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Samia ni Rais na pia ni Mwenyekiti wa CCM. Hivyo chochote kinachofanywa na Serikali au CCM, kinamgusa moja kwa moja. Kwa upande mwingine, sura ya CCM na Serikali, inabebwa na aina ya viongozi...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Mnamo mwaka 2011 nchini Kenya, ilipitishwa Sheria ya bunge iliyounda chombo au wakala wa kusimamia na kiratibu utendaji wa kazi wa Jeshi la polisi, INDEPENDENT POLICING OVERSIGHT AUTHORITY. (IPOA)...
14 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Kutembea ni njia mojawapo ya kujifunza mambo mengi. Elimu haina mwisho na hilo litakuwa ni fundisho kwa mama yetu kutoka kwa mataifa yaliyo endelea. Watu kushika mabango na kuimba nyimbo za...
18 Reactions
95 Replies
5K Views
MKATAA WENGI MCHAWI Na Dk Juma Mohammed Zumari likipulizwa Visiwani, wahemkwao wa Maziwa Makuu. Naam, katika viunga vya Umoja wa Mataifa katika Jiji la New York, Marekani , Rais wa Jamhuri ya...
12 Reactions
58 Replies
5K Views
Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Antonio Guterres‬ Wawili hao wamejadili masuala mbalimbali ikiwemo athari za kiuchumi na kijamii za COVID-19...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Mambo yanazidi kupamba moto Wilayani Simanjiro, tunapoelekea uchaguzi mkuu 2015 jimbo la Simanjiro linaonesha kuwa jimbo lenye ushindani mkubwa kushinda Majimbo yote, tayari kuna Majina kadhaa...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Tunaofanya burudani za viwanjani tumekuwa tukipigia sana simu Babu zetu vijijini wazuie mvua, katika hotuba ya Waziri sijaona akisema ujenzi wa Sports Arena, hakuna msanii asiyejua kama mimi ndiyo...
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi leo amekutana na balozi wa Vatican nchini na kupokea salamu kutoka kwa Papa. Viongozi hao wawili wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo amani katika maeneo ya...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…