Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

Olemandalo

Senior Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
117
Reaction score
12
Mambo yanazidi kupamba moto Wilayani Simanjiro, tunapoelekea uchaguzi mkuu 2015 jimbo la Simanjiro linaonesha kuwa jimbo lenye ushindani mkubwa kushinda Majimbo yote, tayari kuna Majina kadhaa ambayo yanatajwa kuwepo kwenye kunyang'anyiro cha Ubunge Wilayani Simanjiro ni pamoja na Lenganasa Soipey, Peter Toima, James Millya na Christopher Olesendeka, majina matatu kati ya hawa wote ni wanachama wa CCM isipokuwa James Millya.

Mwaka 2010 Millya, Soipey na Sendeka walikuwa wagombea wote walikua wagombea kupitia CCM, Olesendeka akaongoza kwa kura nyingi akifuatia Lenganasa na nafasi ya mwisho ikishikiliwa na Millya, ni wazi kuwa wagombea wenye nguvu hapa ni Olesendeka na Lenganasa Ambao wote ni wanachama CCM kwa maana hiyo jimbo lazima libaki mikononi mwa CCM.

Kuna watu wanajidanganya kuwa Millya ananguvu wakati chama chake mpaka leo haina hata Ofisi ya moja wilayani Simanjiro, hakina hata wanacha hamsini wanaotambulika na chama chake sasa sijui Millya atapigiwa kura na mapepo?

Ni wazi kuwa Bado CCM itaendelea kuwa inaongoza jimbo la Simanjiro na kutokana uchaguzi chama uliofanyika mapema mwaka huu wa mjumbe wa NEC ni wazi kuwa wanasimanjiro bado wana imani kubwa na Mh Sendeka hii ni kwa sababu alimwacha mbali kwa kura mpinzani wake Lenganasa!
 
Eti Milya, hujahamasisha hata ofisi moja? Ni kweli?
 
Sijakuelewa. Sendeka kuwa mnec ni imani kutoka kwa Wanasimanjiro au ni chaguo la wanaccm wa Simanjiro?
Hivi mtu kushinda 2010 ni tiketi ya Kushinda 2015?
Na je olesendeka kasema atagombea tena au unadhani atagombea?
 
Kama kweli hamna organisation, CDM wataibiwa kura.
 
kwa sababu ulipigiwa kura uchaguzi uliopita si kigezo kwamba hali itabaki hivyo hivyo inategemea umefanya nini ktk kipindi ulichokuwepo labda badala ya kuleta siasa za chama lete siasa watu kwa kuanza kusema yeye amefanya nini ndio tuanzie apo ule muda wa kupigiwa kura tu kwa sababu unatoka chama fulani haupo!!!!
 
Olemandalo najua unalengo la kumfurahisha Bosi wako Olesendeka, lakini usilipotoshe jamvi kwa lengo la kumrahisha Sendeka kwanza nipingane na wewe pamoja na kwamba uchaguzi wa ndani ya CCM ni mizengwe na umejaa uchakachuaji Sendeka hajawahi kushinda ubunge wa Simanjiro kihalali, nani asiyejua mwaka 2010 Sendeka aliwarubuni makatibu wa kata zote 18 za Simanjiro wagawe kadi za CCM zilizokuwa zinatumiwa kwenye kupiga kura kwa watu wake tu ambao alisha wapa pesa? Si kweli kuwa hatuna Ofisi hata Moja, muulize hata Bosi wako Sendeka Orkesumet tunaofisi, Mererani tunayo, Lobosoit A tunayo, terat tuna tawi la wanachama, Sukuro tunatawi la wanachama, Nyorit tuna tawi la wanachama, Ngage tuna tawi la wanachama, Nyumba ya Mungu ipo tawi na Ofisi, Msitu wa Tembo tuna tawi na ofisi, na sehemu karibu zote za Simanjiro sijui wewe unasema Simanjiro ipi!
 
Nashindwa kumwelewa Huyu ole mandalo kila Cku a nakula na post za ole sendeka yawning amegeuza jukes Kuwa mahala pa kuzungumza Siasa za simanjiro wilaya ambayo Ina mchango mdogo sana katika harakaati za Siasa za nchi.
 
Kama kweli hamna organisation, CDM wataibiwa kura.

Mkuu si kweli kuna Ofisi nyingi Simanjiro, mimi ni mwanasimanjiro naishi Simanjiro na nafanya kazi Siamnjiro, Olemandalo hata haijui Siamanjiro. Millya alishika nafasi ya Pili kwenye kura za Maoni za ndani ya ccm, mimi mwenyewe nilikua ndani ya ccm kipindi hiyo na nilikuwa kwenye kambi ya Sendeka nilishiriki kumchakachua Millya lakini sasa Ngashutka Millya tayari ni mbunge kila kona ya Simanjiro inajua hivyo, kama Olemandalo anabisha atuambie kwanini Sendeka ameshindwa kufanya mikutano ya Hadhara jimboni kwake? Sasa mtaombaje kura?
 
mambo yanazidi kupamba moto wilayani simanjiro, tunapoelekea uchaguzi mkuu 2015 jimbo la simanjiro linaonesha kuwa jimbo lenye ushindani mkubwa kushinda majimbo yote, tayari kuna majina kadhaa ambayo yanatajwa kuwepo kwenye kunyang'anyiro cha ubunge wilayani simanjiro ni pamoja na lenganasa soipey, peter toima, james millya na christopher olesendeka, majina matatu kati ya hawa wote ni wanachama wa ccm isipokuwa james millya, mwaka 2010 millya, soipey na sendeka walikuwa wagombea wote walikua wagombea kupitia ccm, olesendeka akaongoza kwa kura nyingi akifuatia lenganasa na nafasi ya mwisho ikishikiliwa na millya, ni wazi kuwa wagombea wenye nguvu hapa ni olesendeka na lenganasa ambao wote ni wanachama ccm kwa maana hiyo jimbo lazima libaki mikononi mwa ccm, kuna watu wanajidanganya kuwa millya ananguvu wakati chama chake mpaka leo haina hata ofisi ya moja wilayani simanjiro, hakina hata wanacha hamsini wanaotambulika na chama chake sasa sijui millya atapigiwa kura na mapepo? Ni wazi kuwa bado ccm itaendelea kuwa inaongoza jimbo la simanjiro na kutokana uchaguzi chama uliofanyika mapema mwaka huu wa mjumbe wa nec ni wazi kuwa wanasimanjiro bado wana imani kubwa na mh sendeka hii ni kwa sababu alimwacha mbali kwa kura mpinzani wake lenganasa!

jimbo la simanjiro kwa sasa lina matatizo yafuatayo
1.barabara mbovuu
2.maji ya shida sana na mabaya
3.asilimia kubwa ya vijana wa pale hawana ajira
4.barabara mpaka leo ni mbovuuu
5.wanachi wana maisha magumu mpaka wengine wanakimbilia mjini
6.wakina mama wanafuata maji umbali mrefuu
7.wazee wa pale mpaka leo hawajui ni nini hatma ya watoto wao walioshidwa kujiunga secondary kutokana na ada..... Kwa kifupi lile jimbo lina matatizo kibao sana na mengine si ya kusimulia wana simanjiro tumenyamaza sasa baada ya kutatutua matatizo ya hapa mnawaza chadema kupambana nayo 2015...mpate ushindi wa kishindo dhidi chadema.... Msipokuwa makini 2015 cjui ole sendeka kama atapona.....haya ni baadhi ya maoni ya wana simanjiro ....
 
kila wakati mkutano wa Mbunge ukiandaliwa unahairishwa kwa kukosa wahudhuriaji kisa Millya kawatuma wahuni wake kina Oleleshwa waje wawazuiye watu kwenda kwenye mikutano, sasa swali la kijiuliza ni kama Oleleshwa tu anaweza kuzuiya watu wasiende kwenye mikutano vipi akija bosi wake kuomba kura? Kwanini mnasema Millya hana nguvu kama msaidizi wake anaweza kusababisha mkutano wa Mbunge kuhairishwa!
 
Sijakuelewa. Sendeka kuwa mnec ni imani kutoka kwa Wanasimanjiro au ni chaguo la wanaccm wa Simanjiro?
Hivi mtu kushinda 2010 ni tiketi ya Kushinda 2015?
Na je olesendeka kasema atagombea tena au unadhani atagombea?

kwa kuwa wanasimanjiro wote ni wanaccm basi jibu ni 'NDIO'
 
Olemandalo najua unalengo la kumfurahisha Bosi wako Olesendeka, lakini usilipotoshe jamvi kwa lengo la kumrahisha Sendeka kwanza nipingane na wewe pamoja na kwamba uchaguzi wa ndani ya CCM ni mizengwe na umejaa uchakachuaji Sendeka hajawahi kushinda ubunge wa Simanjiro kihalali, nani asiyejua mwaka 2010 Sendeka aliwarubuni makatibu wa kata zote 18 za Simanjiro wagawe kadi za CCM zilizokuwa zinatumiwa kwenye kupiga kura kwa watu wake tu ambao alisha wapa pesa? Si kweli kuwa hatuna Ofisi hata Moja, muulize hata Bosi wako Sendeka Orkesumet tunaofisi, Mererani tunayo, Lobosoit A tunayo, terat tuna tawi la wanachama, Sukuro tunatawi la wanachama, Nyorit tuna tawi la wanachama, Ngage tuna tawi la wanachama, Nyumba ya Mungu ipo tawi na Ofisi, Msitu wa Tembo tuna tawi na ofisi, na sehemu karibu zote za Simanjiro sijui wewe unasema Simanjiro ipi!

Mkuu najua wewe ndo Oleleshwa Ofisi ya Orkesmet unayosemea ndo ile nyumba ya mama yake Millya? Na nasikia yeye ndo mwenyekiti wa chama Wilaya, alafu wanachama watoto wake, mgombea ubunge first Born!
 
jimbo la simanjiro kwa sasa lina matatizo yafuatayo
1.barabara mbovuu
2.maji ya shida sana na mabaya
3.asilimia kubwa ya vijana wa pale hawana ajira
4.barabara mpaka leo ni mbovuuu
5.wanachi wana maisha magumu mpaka wengine wanakimbilia mjini
6.wakina mama wanafuata maji umbali mrefuu
7.wazee wa pale mpaka leo hawajui ni nini hatma ya watoto wao walioshidwa kujiunga secondary kutokana na ada..... Kwa kifupi lile jimbo lina matatizo kibao sana na mengine si ya kusimulia wana simanjiro tumenyamaza sasa baada ya kutatutua matatizo ya hapa mnawaza chadema kupambana nayo 2015...mpate ushindi wa kishindo dhidi chadema.... Msipokuwa makini 2015 cjui ole sendeka kama atapona.....haya ni baadhi ya maoni ya wana simanjiro ....

umesahau moja, Kuna vijana wanatukana wazee wao, Millya/Oleleshwa.
 
kwa kuwa wanasimanjiro wote ni wanaccm basi jibu ni 'NDIO'

Nani kasema Wanasimanjiro wote ni ccm? Acha kujifurahisha wewe, ulisahau kilichomtokea Bosi wako kule kimotok? Umesahau mwenyekiti wa ccm mkoa aliambiwa nini na wananchi wa Kimotorok? Ccm simanjiro imebaki na wehu kama nyinyi tu!
 
Mkuu najua wewe ndo Oleleshwa Ofisi ya Orkesmet unayosemea ndo ile nyumba ya mama yake Millya? Na nasikia yeye ndo mwenyekiti wa chama Wilaya, alafu wanachama watoto wake, mgombea ubunge first Born!

Hivi wewe huyu baba yako wakambo?mbona unapenda kumfagilia sana au ni huo uwizi wamchanga wa Tanzanite one anaokupa.
 
Maccm kwa kujitie moyo,nimetembea jimbo zima la simanjiro milya ni mbunge anayesubiri kuapishwa ,nimefika sokuru,nairero,ndido,orgasmet,namalulu,ndonyo,ngage,lemkuna,komolo,tilili,landabani,terati,naberera,kisamaa,losoito,landanai,mirerani,lundorigesi,kangala,nadosoiti na namba tano kumeiva mbaya wananchi hata hawataki kumuona sendeka
 
Back
Top Bottom