Rais Samia atakuwa amejifunza mengi Marekani

Rais Samia atakuwa amejifunza mengi Marekani

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,251
Reaction score
98,249
Kutembea ni njia mojawapo ya kujifunza mambo mengi.

Elimu haina mwisho na hilo litakuwa ni fundisho kwa mama yetu kutoka kwa mataifa yaliyo endelea.

Watu kushika mabango na kuimba nyimbo za kumuomba amwachie kiongozi wa upinzani mh Mbowe.

Mama atajua kuwa Tanzania siyo kisiwa kama alikuwa hajui sasa ataelewa.
 
Siasa za Tanzania ni za hovyo na za ushamba, ukiona wapinzani wanavyofinywa utahisi wanahatarisha usalama wa nchi kumbe hakuna lolote, Viongozi wababdilike na wajifunze kutenda haki kwani wapinzani wamekua wahanga wa kukamatwa kila leo na kufunguliwa mashtaka ya kishamba ambayo hayana utu kabisa hii sio sawa
 
Watawala ni waoga sana kuondolewa madarakani kwani wamefanya mambo ya hovyo kwa miaka zaidi ya 60.
 
Tatizo sio Kama hajui anajua sana ila tatizo la mfumo. Mama sio mgeni wa hizi nchi. Kulingana na ngome aliko hawezi kulifungua hilo fundo peke yake.

Nchi zingine vijana, wazee, vikundi, wafanyakazi na taasisi wanaandamana ili kufikisha ujumbe wao na wanasindikizwa huko barabarani na maaskari kwa mwendo wanaoelekezwa na njia wanazoelekewa mpaka wafike wanapotakakufikisha ujumbe wao na serikali inawasikiliza ujumbe wao.

Mama aombe msaada kwa taasisi zote nchini na Jeshi wamsaidie, ili Tanzania ipate katiba mpya. Ataweka historia ya kizazi na kizazi Kama mwanamke shujaa katika bara la Africa aliyetengeneza mfumo wa haki na kuunda nchi yenye mfumo wa viongozi sio watawala.
 
Tatizo sio Kama hajui anajua ila tatizo la mfumo. Kulingana na ngome aliko hawezi kulifungua Hilo fundo peke yake. Nchi zingine vijana wazee wanaandamana kufikisha ujumbe wait na wanasindikizwa huko barabarani na maaskari na serikali inasioiliza ujumbe wao...
Asante sana kwa comment yenye uweledi na constructively
 
Ni aibu zaidi kwa rais mwanamke kuwa dikteta.
Atajua kuwa walio mzunguka wanampotosha ili wajaze matumbo yao huku jamii nyingine inabubujikwa machozi na damu.
 
Kutembea ni njia mojawapo ya kujifunza mambo mengi.

Elimu haina mwisho na hilo litakuwa ni fundisho kwa mama yetu kutoka kwa mataifa yaliyo endelea.

Watu kushika mabango na kuimba nyimbo za kumuomba amwachie kiongozi wa upinzani mh Mbowe.

Mama atajua kuwa Tanzania siyo kisiwa kama alikuwa hajui sasa ataelewa.View attachment 1950276
1, 2, 3....
 
Kwani mama si anaupiga mwingi na kuwakomesha mataga au?
 
Back
Top Bottom