Kumbe Kikwete alikuwa na share Kempinski!? UNESCO walituokoa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbe Kikwete alikuwa na share Kempinski!? UNESCO walituokoa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nderingosha, Dec 10, 2011.

 1. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,527
  Likes Received: 1,314
  Trophy Points: 280
  Du....!

  Ukitaka kuyajua maovu yafanywayo na viongozi wetu watawala....jaribu sana kusoma mitandao ya nje ya nchi kwani ukiwa tz mambo machafu haya huwezi yajua....(hata wikileaks ni mtandao wa nje).

  Katika pitiapitia yangu maswala ya vivutio vya utalii tz.....nimekutana na hii blog inayoitwa "AFRICA ANSWERMAN"(africaanswerman.com). Ni site inayoshughulika na mambo ya utalii Africa.

  Katika somasoma nimekutana na issue ya hotel ya kempiski....jinsi walivyoleta tafrani kwa watalli wa kigeni waliokuwa wamepanga kufikia kempiski kipindi kile wako mbioni kuzifunga Kilimanjaro kempiski dar na Bililo lodge kempiski serengeti. Ukisoma hii habari utaona kumbe kulikuwa na malalamiko mengi ya watalii juu ya jinsi kempiski walivyotimka ghafla dar na bililo.....huku hata simu zikikataa kujibiwa na mipira kurushiwa wawekezaji wapya -Hyatt hotels(dar).

  Kilichonishtua zaidi ni jinsi mwandishi alivyomuhusisha JK na sakata zima la kuondoka kwa kempiski tz -yaani zamani kempiski zanzibar,kilimanjaro kempiski, na bilila lodge serengeti.Mwandishi anadokeza kuwa kumbe JK alikuwa na hisa kwenye hotel zote tatu za kempiski(yaani zamani,kilimanjaro na bilila)na anadokeza jinsi ambavyo JK aliifungua bilila lodge kwa mbwembwe mwaka 2009 na jinsi ambavyo alikuwa akifikia pale kwenye trip zake za retreat arusha.

  Mwandishi anashangazwa na jinsi ambavyo rais JK alivyolipigia kifua suala la ujenzi wa serengeti highway project kwenye hifadhi ya taifa huku akijua kuwa serengeti ni unesco world heritage site.

  Mwandishi anakwenda mbali huku akimuusisha JK pia na kukingia kifua ununuzi wa eneo la ngome kongwe (mambo msige)uliofanywa na hao hao kempiski ili kujenga hotel pale(kwa malipo ya dola 10,000 kwa mwaka kwa miaka 99).

  Eneo hilo la ngome kongwe pia nalo lilipigiwa kelele na wanaharakati na unesco kama ilivyokuwa kwa ujenzi wa serengeti highway project.

  Mwandishi anaendelea kudokeza kuwa JK aliendelea kutosikiliza kilio cha wanaharakati wa mazingira na wapinzani wa kisiasa juu ya haya maeneo yaliyokuwa yanataka kumilikiwa na kempiski.....na aliyepigilia msumari wa mwisho kupinga suala hili kumbe ni unesco waliingilia kati na kuonya kuwa serengeti ni world heritage site na pia ngome kongwe na hivyo hairuhusiwi kujengwa hizo projects..........na ni kwa onyo hili la unesco ndipo kumbe kempiski wakaamua kukusanya kilicho chao na kuondoka tz......

  Kama haya yanayosemwa ni ya kweli juu ya JK.....basi kumbe atakuwa na mambo mengi ya kujibu.....maana hata dowans amekana kuusika.....


  Source: africaanswerman.com

   

  Attached Files:

 2. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makubwa, madogo yana nafuu
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Usijali, kuna kundi la nne hivi sasa on the ground wakifanya utafiti wa kina juu ya jambo hili. Hata hivo matokea ya tafiti nyinginezo tatu zilizotangulia kabla Kempinski ya Mu-Israeli pale Dar haijamponyoka lili li-Arabu na kugeuka ghafla kuwa Hyatt wala si matani!

  Vuta pumsi!
   
 4. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #4
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Please msipotoshe watu.
  Kempinski na Hyatt ni hotel management companies.
  The owner of the property is still the same, Mr. Ali Bawadry.

  Mkataba wa kumanage umeisha na Ali kawapa tender Hyatt.
  Kempinski was never the owner nor is Hyatt.

  Unlike Royal Palm, hiyo ilikuwa inamilikiwa na Prince Waleed aliyeinunua toka kwa yule mgiriki.
  Prince Waleed aliwaajiri Moevenpick to manage the property.
  Ila kwa sasa Waleed ameuza kwa Serena ambao wao wenyewe wataimanage pia.
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  mkuu hili wala si swala geni. Ukienda serengeti kule wanafahamu kabisa kwamba Bilila Serengeti ni ya mkuu.
  - Ni huku mbali ndo watu hawalijui hilo mkuu.

  - HATA UJENZI WA HOTELI YA BILILA SERENGETI ULIPIGIWA KELELE SANA NA WANA ECOLOGIA KWA SABABU IMEJENGWA KWENYE NJIA YA ASILI YA WANYAMA KUPITA HASAHASA NYUMBU WANO KUWA WANAHAMA KUTOKA SERENGETI KWENDA MASAI MARA KENYA.
   
 6. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kutoka kwenye suits mpaka kwenye hisa za hoteli.

  Hii movie tamu sana.
   
 7. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #7
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Mheshimiwa God bless Lema tafadhari soma hapa, ingawa ni hatari kwako lakini wewe ni mpambanaji hapa kazi bado ipo!!!!!!!!! Yaani mapambano ndio bado yameanza, wakoloni weusi na mafisadi hatari wananyemelea uatajiri wetu wa mbuga kwani wameisha ingia!!! Bora nusu ya shari kuliko shari kamili!!!!!!!!!!!! Mapambano ndio yameanza live versus Mkulu and team through Swiss Banks kumbe kuna 15% of investiment money for every agreement signed by the boss!!!!!!
  THE SERENGETI HIGHWAY IS STILL ON!!!!
  The “candid” letter adressed by Ezekiel Maigto to UNESCO headquarters is only a mere trick by Kikewte (and his “lovely” pal Lowassa) to mislead everyone and get away with their plans to start works, and most important for them: to start getting funds from donors… It is well known that African leaders (and also corrupted politicians in other parts of the world) do get a substantial commission free of taxes in Swiss banks or other tax free paradises for accepting “investment money”… The common percentage is 15% of the total money accepted… This may come as a surprise to many, but we all know it and considering the past record of Lowassa and Kikwete, they are not going to be an exception. In short, the “nice” letter to the UNESCO, allows them to: 1. Get the cash without further “interruptions” by activists. 2. Get their “percentage” in due course. 3. Go ahead with the highway, which now has less meaning, because if car and trucks CAN NOT cross the Serengeti being the unpaved road under TANAPA control and only for Nat. Park use, why then construct that highly expensive highway in the first place? 4. The trick will allow Lowassa (a traitor to the local Maasai being himself one of them…) and Kikwete to go ahead with the real reason behind the road, which is apart from capturing a “percentage” of the donor money, to get the soda ash plant under construction, which means another “percentage”, this time for the rest of their lives from the Indian investors related to Kikwete’s father in law… (see the Dar es Salaam press’s latest news on that…) 5. The soda ash plant and the road, will, on the other side, definitively destroy the Maasai cosmology, killing their culture and turning most of them into beggars as their ways of present subsistence will be sacrified for ever. In my recent visit to Lake Natron last April I talked to several Maasai chiefs, and their common roar was that the highway will increase the stealing of their cattle, as there is no way they can stop the hundreds of trucks, specially at night, from robbing freely. Also it will force those Maasai not willing to become askaris at the soda ash plant, to move further inland, where there is no water, and further bad news for them, it will completely stop the walking safaris to Ol Donyo lengai as visitors will look for more pristine pastures… Last but not least, does anybody with common sense believe that once the two sides of the highway being operational, that the remaining 53 kms. will not be paved anytime soon?
   
 8. mwanapolo

  mwanapolo Senior Member

  #8
  Dec 10, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 194
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I can't imagine after 2015 where ****** will put his shame face!!!
   
 9. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,986
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hiyo pia ni mbinu ya kukwepa kulipa kodi, tax holidays five years you sell the property to some one else umeeleweka!!!!!!!!!!!!

   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,799
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  huyu Ali Bawadry ndio yule alimhonga mkuu dola 1000 na zile suti au ni mwingine huyu, nidaidie tafadhali!
   
 11. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Hapo ndo patamu! Mi naisubiri kwa ham kweli 2015, inshaalah mungu atujalie uzima.
   
 12. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  mkuu umesoma chini jinsi komando alivyonena?? Ebu tudadavulie au umetumwa kumsafisha mkuu wa kaya?? Tusaidie mkuu au unakuBaliana naye???? Tafadhali tupe ilmu juu ya ilo
   
 13. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nitampata wapi yule sauper wa filamu ya mapank aje anitengenezee filam inayomuhusu huyu kichwa nazi? Script tayari ninazo. Filam itaanza kwa kuonesha mtoto anazaliwa bila kichwa, madaktari wanahangaika kufanya operation, wanaweka kichwa cha kuku wanatoa, wanaweka nanasi wanatoa, ghafla inapojaribiwa nazi inafit....then inaoneshwa utoto wake, ujana, na mambo yoote aliyoyafanya yanayojulikana na yaliyosirini as anavopenda kuuza sura, atakuwa kinara so atajazia script! Mwenye contact za huyo producer aniPM! Kabaang!
   
 14. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Du alafu JK vipi mbona anawapenda waharabu, kulikoni?
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Hao ndo tulowapangisha IKULU!
   
 16. D

  Danniair JF-Expert Member

  #16
  Dec 10, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 361
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndo maana wale watunga sheria wetu hawako tayari kuibadili sheria hii
   
 17. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #17
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Hivi hawa wanaojiita wamiliki wa hotel za kempiski si ndo hao hao wamiliki wa ile game reserve kule loliondo?
  Wakuu kuna kitu kama hicho make hawa watu ukienda kule loliondo kwenye hifadh yao ndo utatambua kwamba nchi imeishwa uzwa.
  -wale warabu kule loliondo hawatumii sheria za tanzania na nazani wanafuata sheria za huko kwao, make wana private road zao na wanaua wanyama wanavyo taka wao wenyewe na kwa nja ambazo si sahihi.

  Sipingani na mkuu kuwa share pale kwa sababu hawa warabu ni noma.
   
 18. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #18
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Sasa . Anamiliki hoteli ngapi,kwa sababu last week nimekutana na mama mmoja,mtalii kutoka. Ujerumani,anasema alikuwa yupo . Kigamboni miezi mitatu,anakaa katika hoteli ya Salma na. Jakaya. Kikwete. Huyu alikuwa inducted kwenye Chama kwa vile alikuwa ultra-revolutionary. Lakini ndio uongozi ulivyo. Hata . Stalin alikuwa tajiri. Kwa sababu mtu akiwa na walinzi wangapi7,haiwezekani kumlinda.
   
 19. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Niliskia taarifa hizi zilitokana na vita ya kibiashara kati ya wawekezaji ni vema tukasikia Ikulu wanatuambia nini. Vita hiyo inamwigiza Jk kwa maslahi ya kibiashara. hapa ni kanuni ya mwaga mboga nitamwaga ugali
   
 20. Andrew Nyerere

  Andrew Nyerere Verified User

  #20
  Dec 10, 2011
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 3,025
  Likes Received: 1,203
  Trophy Points: 280
  Sasa huyu Kikwete namiliki hoteli ngapi,kwa sababu last week nimekutana na mama mmoja,mtalii kutoka. Ujerumani,anasema alikuwa yupo .Kigamboni miezi mitatu,anakaa katika hoteli ya Salma na Jakaya. Kikwete. Huyu alikuwa inducted kwenye Chama kwa vile alikuwa ultra-revolutionary. Lakini ndio uongozi ulivyo. Hata . Stalin alikuwa tajiri. Kwa sababu mtu hata akiwa na walinzi wangapi,kama ni maskini ,haiwezekani kumlinda.
   
Loading...