Hoja ya wanachadema kuhusu machinga serikali imenasa

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,254
2,000
Sio kweli kwamba kelele za kutaka kuusafisha mji zinazotolewa na vijana , viongozi wa CHADEMA mitandaoni ni hoja za kiungwa la hasha zimejaa hila na uchonganishi na hapa serkali ya mama Samia ilishaingia mkenge.

Wakati wakiwa wanaongoza halmashauri za miji mikubwa Kama dar, Arusha, mbeya,iringa hawakuwahi kulisema hili meya wa dar wakati huo mwita 2015-2020 ndio wimbi la machinga lilianza kujaa kila Kona na hayati magufuli akasema waachwe tu , kipindi magufuli akiwa na ziara mbeya Sugu alisema nature ya machinga ni mitaani duniani kote katika salamu za mbunge jimboni kwake waachwe.

Magufuli alijua nguvu ya machinga kisasa hasa mijini ambamo CCM alikuwa haikubariki na kata zote zikawa chini yao Sasa wanatumia serkali ya Samia KUFITINISHA na hawa jamaa wenye ushawishi wa kisiasa wa kubadili upepo kwenye mikutano.

Leo asubuhi kila mwanachadema amegeuka kuwatetea machinga na kuilaumu serkali kinyume na ilivyokuwa wakati wa serkali kuilaumu serkali kwa kuwaachia machinga watambe , inasikitisha ukigeugeu huu wa CHADEMA

Chadema sasa ni watetezi wa machinga !! Inasikitisha sana kuwaita wachafuzi wa mji kuwa kuwatetea tena ,huu ulikuwa mtego wa kisiasa na serkali imetumbukia humo.

USSR
 
Sang'udi

JF-Expert Member
May 16, 2016
3,275
2,000
Deviation yoyote kutoka kwenye Magufulism lazima ikumbane na jazba ya Watanzania walio wengi.
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,923

Ila mkuu chadema itakupasua au kukupanua moyo , karibu CHADEMA ,naona waipenda Sana ,kachukue KADI,maana YUPO mmoja hum nilimwambia karibu CHADEMA ,akasema hawezi kuja kwenye njaaa, means tumbo kwanza mengine badae
 
Shoctopus

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
3,055
2,000
Sio kweli kwamba kelele za kutaka kuusafisha mji zinazotolewa na vijana , viongozi wa CHADEMA mitandaoni ni hoja za kiungwa la hasha zimejaa hila na uchonganishi na hapa serkali ya mama Samia ilishaingia mkenge.

Wakati wakiwa wanaongoza halmashauri za miji mikubwa Kama dar, Arusha, mbeya,iringa hawakuwahi kulisema hili meya wa dar wakati huo mwita 2015-2020 ndio wimbi la machinga lilianza kujaa kila Kona na hayati magufuli akasema waachwe tu , kipindi magufuli akiwa na ziara mbeya Sugu alisema nature ya machinga ni mitaani duniani kote katika salamu za mbunge jimboni kwake waachwe.

Magufuli alijua nguvu ya machinga kisasa hasa mijini ambamo CCM alikuwa haikubariki na kata zote zikawa chini yao Sasa wanatumia serkali ya Samia KUFITINISHA na hawa jamaa wenye ushawishi wa kisiasa wa kubadili upepo kwenye mikutano.

Leo asubuhi kila mwanachadema amegeuka kuwatetea machinga na kuilaumu serkali kinyume na ilivyokuwa wakati wa serkali kuilaumu serkali kwa kuwaachia machinga watambe , inasikitisha ukigeugeu huu wa CHADEMA

Chadema sasa ni watetezi wa machinga !! Inasikitisha sana kuwaita wachafuzi wa mji kuwa kuwatetea tena ,huu ulikuwa mtego wa kisiasa na serkali imetumbukia humo.

USSR
Kwahiyo unakubali serikali ya CCM haijawa na solution ya tatizo kwa kutumia wataalamu wake miaka yote?
Tatizo ni mipangomiji mibovu na kuhubiri ajira hewa kwa vijana.
 
zitto junior

JF-Expert Member
Oct 7, 2013
13,778
2,000
Deviation yoyote kutoka kwenye Magufulism lazima ikumbane na jazba ya Watanzania walio wengi.
Maneno tu haya..... Mbona mengi yamebadilishwa ila mpo kimya? WaTZ ni waoga sana na CCM imeshajua so inawapelekesha inavyotaka, afterall inajua 2025 haihitaji kura zenu bali tume iwabebe tu!!

Kipindi tunadai katiba mpya mliona tunaongea pumba, mkibomolewa ndio mtaelewa umuhimu wa ugatuzi ili serikali isiingilie halmashauri kwenye micro-economics zake!
 
DATAZ

JF-Expert Member
May 25, 2012
1,385
2,000
Hao Wamachinga si walihadaiwa na CCM kuwa wakishalipa 20,000/= watafanya biashara popote kwa Uhuru? Sasa imekuweje tena?

CCM ni waongo Sana na hawakawii kujisahau.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,996
2,000
CCM NI KUBWA KULIKO MACHINGA.
ccm kuhofia machinga ni sawa na mtu kuogopa kivuli chake. machinga lazima waondoke barabarani.

Ccm haiko madarakani kwa kura halali za wananchi, bali kiburi cha madaraka cha Magufuli, ndio kimewawekea madarakani, hivyo wakisikia tu nguvu ya umma matumbo moto. Wapalekeni hao wamachinga kwenye vile viwanda 8,000+ Magufuli alivyokuwa anadanganya wananchi kuwa kavijenga.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
42,996
2,000
Kama wananchi wataendelea kuwa waoga huku wakiteswa, basi mama na CCM watatangazwa washindi bila ridhaa ya umma kama ilivyokuwa kipindi cha Magufuli.
Inamaana unajifanya umesahau Mwenyekiti wa chademaaa ndio muasisi wa kubadilisha gear angani? yaani hawa jamaa ni vigeugeu hakuna mfano.

#Mama 2025
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom