Mabango ya kutaka Freeman Mbowe aachiwe huru kwa vile siyo Gaidi yatinga kwenye Mkutano wa UN huko Marekani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,230
Hii ndio Halisi kwa sasa , huku Taarifa zikionyesha kwamba Wazungu wengi wanaosoma mabango hayo ambao wanafahamu kwamba Mh Mbowe ni tunu ya amani ya nchi WANASIKITISHWA SANA NA HALI YA UONEVU anayokumbana nayo Shujaa wa Taifa Mbowe

%E2%9C%8C%EF%B8%8F%E2%9C%8C%EF%B8%8F%E2%9C%8C%EF%B8%8F%F0%9F%94%A5%F0%9F%94%A5.jpg
%23FreeMbowe.jpg
Ujumbe_kutoka_MAREKANI_muda_huu%E2%80%A6.jpg

View attachment 1950107
View attachment 1950108
View attachment 1950168
 
Hii ndio Halisi kwa sasa , huku Taarifa zikionyesha kwamba Wazungu wengi wanaosoma mabango hayo ambao wanafahamu kwamba Mh Mbowe ni tunu ya amani ya nchi WANASIKITISHWA SANA NA HALI YA UONEVU anayokumbana nayo Shujaa wa Taifa Mbowe

View attachment 1949923View attachment 1949924View attachment 1949925

Hii ni habari njema sana. Na mabango zaidi tafadhali yaendelee kumfuata kokote aendako.

Hata Wataleban kufikia sasa watakuwa wamefahamu kuwa pande za kwetu kuna majizi ya haki, usawa na uhuru labda yaliyopitiliza kuliko wao.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom