Leo Mbowe ameitwa Gaidi, kesho sheria hii itatumika kuwanyamazisha wana-CCM wenye maono chanya

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Walitunga sheria ya uhujumu uchumi kwa shangwe ikaja kuwaweka ndani Tena bila Haki yakusikilizwa wakaporwa fedha na kunyamazishwa kisiasa.

Wakatunga POTA wakiamini inalenga magaidi kumbe inaweza kuwalenga hata ambao siyo Magaidi kama ilivyo kwa Mbowe leo hii.

Naamini Mbowe ametangulia ili kufungua milango kwa Wana CCM wenye maono au wenye nia yakutafuta Haki au madaraka. Kwa yeyote Mwenye nguvu na maono kinyume na mwenyekiti wa CCM ajiandae kuwa Gaidi au muhujumu uchumi.

Hii nyama ya binadamu imeashakuwa kali hawataacha kuila.
 
katibu mkuu wa zamani wa oau .
 
Mange kasema TZ kwa sasa ina demokrasia na haki za binadamu zinazingatiwa sana!

Alibeba bango America.
 
Walitunga sheria ya uhujumu uchumi kwa shangwe ikaja kuwaweka ndani Tena bila Haki yakusikilizwa wakaporwa fedha na kunyamazishwa kisiasa.

Wakatunga POTA wakiamini inalenga magaidi kumbe inaweza kuwalenga hata ambao siyo Magaidi kama ilivyo kwa Mbowe leo hii.

Naamini Mbowe ametangulia ili kufungua milango kwa Wana CCM wenye maono au wenye nia yakutafuta Haki au madaraka. Kwa yeyote Mwenye nguvu na maono kinyume na mwenyekiti wa CCM ajiandae kuwa Gaidi au muhujumu uchumi.

Hii nyama ya binadamu imeashakuwa kali hawataacha kuila.
Mbowe akifungwa nitafanya sherehe kubwa kubwa sana watu wale na kunywa siku tatu tatu

USSR
 
Back
Top Bottom