DED wa Gairo asimamishwa kazi kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa mabati zinazomkabili

msovero

JF-Expert Member
Jun 30, 2019
839
1,471
Leo sept 10, 2021 waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe. Ummy mwalimu amemsimamisha kazi aliyekuwa mkurugenzi wa gairo bw. Asajile Mwambambale kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa mabati anayodaiwa kuiba na wenzake wakati akiwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya kilosa kabla ya kuhamishiwa halmashauri ya gairo mkoani morogoro.

Taarifa ya kuhusu kusimamishwa kwa mkurugenzi huyo hii hapa,

2921316_A9EF9C12-12AE-4D56-B0FF-A03960AFB4C8.jpeg

Pia soma,

Thread 'Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati' Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati

Thread 'Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu' Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu
 
Huyu jamaa ana majanga sana, wakati ule wa magufuli aliponea chupuchupu alilia sana mbele ya rais.
 
Leo sept 10, 2021 waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe. Ummy mwalimu amemsimamisha kazi aliyekuwa mkurugenzi wa gairo bw. Asajile Mwambambale kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa mabati anayodaiwa kuiba na wenzake wakati akiwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya kilosa kabla ya kuhamishiwa halmashauri ya gairo mkoani morogoro.
Hii ni non-issue. Watuambie Mkurugenzi ndugu yake Magufuli alieua Msabato kanisani nini kinaendelea. Mabati yamerudishwa tunaweza kuendelea, na uhai uliotolewa je?
 
Leo sept 10, 2021 waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi Mhe. Ummy mwalimu amemsimamisha kazi aliyekuwa mkurugenzi wa gairo bw. Asajile Mwambambale kupisha uchunguzi wa tuhuma za wizi wa mabati anayodaiwa kuiba na wenzake wakati akiwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya kilosa kabla ya kuhamishiwa halmashauri ya gairo mkoani morogoro.

Taarifa ya kuhusu kusimamishwa kwa mkurugenzi huyo hii hapa,

View attachment 1931947
Pia soma,

Thread 'Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati' Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Gairo akamatwa na Polisi kwa tuhuma ya wizi wa mabati
Thread 'Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu' Ni jambo la kushangaza kwa Mkurugenzi aliyeiba mabati kuendelea kuwa ofisini hadi muda huu
Tulidhani kwa kuwa WAMERUDISHA basi hakuna KESI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Watu wa hivi hata kuuza siri za nchi ni rahisi sana yaani ukipanda dau tu

Halafu wanakuambia wazawa
Wazawa my
 
Huyu jamaa anaiharibia sifa chuo cha mipango malecturer vichwa maji kama hawa sio kabisaa
 
Yule aliyemhukumu kama wewe kabla ya hukumu ya jaji sasa hivi ameamua kuwa miss Utalii.
Mlifurahia kifo cha magu amkujua kuwa kama kifo kilitokana na mikono ya watu basi swala la democracy litakuwa ndoto sasa cheki chadomo mnavyo teseka
 
Back
Top Bottom