seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,654
Siku ya jumanne week ijayo Askofu Gwajima ameweka wazi kuwa atafanya mjadala mpana na marafiki zake Mkurugenzi wa chanjo ya Pfizer pamoja na mgunduzi wa MRna kuhusu chanjo ya corona
Mahojiano yatakuwa live kupitia zoom meeting, Link ataiweka siku ya jumanne kwenye Instagram page yake
Anaomba watu washiriki mjadala huo, Mjadala utaongozwa na Askofu Gwajima mwenyewe,
Askofu Gwajima anaomba washiriki zaidi ili kuboresha mjadala na kuuliza maswali
Anasema washiriki wenza ni marafiki zake wa siku nyingi, Hivyo kila mtu aje na data zake za kisayansi Halafu tuone mapambano wa mjadala
Gwajima anasema kuna kitu hakipo sawa kwenye hii dunia kwa sasa, Watu wachache ndio wanaendesha hii dunia watakavyo wao
Askofu Gwajima anashauri serikali huu ni wakati wa kuwekeza kwenye intelligensia sana
Anasisitiza tusomeshe watu na kuwekeza zaidi kwenye Medical intelligence na Economic intelligence pamoja na Diplomatic intelligence ili tusonge mbele kama Taifa