Polisi, Uhamiaji, Magereza na Zimamoto. Wote ni wizara moja. Sayansi mliyotumia inashangaza.
Hivi mnajua kwamba tunao-graduates wanauza chai kwenye vihoteli vidogo?
Mnajua kwamba kuna graduates...
Nikiwa kada wa siku nyingi niliyepitia JKT kwa mwaka mzima, nimesitushwa na majibu ya Mh Simbachawene katika ajira za wasomi Polisi.
Nimelazimika kupitia CV yake iliyo ukurasa wa Bunge, hakuna...
Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi...
Kuna usemi unasema mwenzio akinyolewa zako tia maji.
Kutokana na mwenendo wa kesi za kimataifa kuhusiana na mipaka inaonyesha mahakama na hata jumuiya ya kimataifa haina nguvu sana ya kulazimisha...
Wakati najiandaa kuandika waraka nilioupa jina "Msajili wa vyama vya siasa unataka nini tukusaidie" nikakutana na taarifa ya ofisi ya Chadema kuchomwa moto huko Tunduma. Naomba niyajadili yote kwa...
Kama ilivyo ada , ile Taasisi bora ya Vijana barani Africa inayoitwa BAVICHA ambayo imechukua jukumu la kuongoza makongamano ya Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi nchini Tanzania kwa gharama...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mustafa Hamisi Umande kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Chai Tanzania
Anachukua nafasi ya Mhandisi Steven Mlote aliyemaliza muda wake. Uteuzi...
Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine?
Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo.
Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo...
Katika report za majeshi na utendaji wake jeshi la wananchi la Tanzania limeonekana kuwa sawa na kujali haki za raia ukilinganisha na majeshi mengine,
Mambo ambayo yameangaziwa
1.Unyanyasaji wa...
Ndugu zangu wana-CCM na Watanzania wenzangu,
Hii ni siku muhimu kwangu na kwa nchi yetu. Leo nimeamua kuwaita ili kuwatangazia rasmi Watanzania wenzangu azma yangu ya kutaka kuomba ridhaa ya...
Leo hii ninaamini wapo watanzania wenye maono kama yangu,
Wanaopinga matumizi ya hela ya serikali bila idhini,
Kutaka kuabudiwa kwa kila kitu na kutaka sifa za kwamba ndo amefanya kila kitu...
Inawezekana kufika mwaka 2020 akawa ameibuka mtu mwingine akamtetemesha mkuu zaid ya Lissu, na wenda akaonekana anafaa zaidi kugombea urais kuliko Lissu.
Kwenye siasa lolote lawezekana.
Anaweza...
Leo uongozi wa juu wa Barrick Mines Tanzania umepata fursa ya kukutana na Mheshimiwa rais Magufuli na kueleza yaliyo moyoni mwao,
moja ya mambo ambayo wameeleza ni kumshukuru Magufuli kwa msimamo...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, hadi...
Ummy Mwalimu umegawa kila chumba Cha darasa 20m, kwasasa ni ngumu kwa bajeti hio, vifaa vya Ujenzi juu Sana, naomba mutoe special offers yaani tax exemptions kwa Ujenzi juu wa madarasa vinginevyo...
WAZIRI UMMY ATOA MAELEKEZO KWA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA KUSIMAMIA MIRADI YA FEDHA ZILIZOTOLEWA NA IMF
WAZIRI wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy...
Kuwaondoa wamachinga kwa utaratibu wa sasa hakuwezi kuisafisha Dar es salaam kwa sababu machinga hawataondoka.
Ni heri upekue mafaili hapo ofisini kwako ukilipata lile la " Operesheni Nguvu Kazi"...
Habari wadau..
Nimesoma habari kwenye gazeti la the Citizen kwamba kuna mvutano Kati ya Mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa na Mamlaka ya Usimamizi wa Manunuzi ya Umma yaani PPRA Kuhusu kutoa...
NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI WA CCM, SHAKA HAMDU SHAKA ALIPOKUA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO 12 OCTOBA 2021 DODOMA
"Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea...