Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukweli ni kwamba Wazanzibar Sasa wanaona the way ACT Wazalendo alivyo,, hana tofauti na CCM. CHADEMA mkiwekeza Zanzibar,,mkaubiri haki,, na matatizo pamoja na suruhisho la muungano mta-win Sana...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Utetezi wa Sabaya ulizihusisha mamlaka za uteuzi. Mazingira yanaonesha kuwa Kuna ukweli fulani kwenye madai yake hayo ya utetezi. Ushahidi wa madai yake kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya...
1 Reactions
2 Replies
792 Views
Kuna taarifa kwamba Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amefanya mabadiliko kwenye kamati za kudumu za bunge , na kumhamisha Mh Mbunge Humphrey Polepole kutoka kamati ya awali ya Utawala na...
8 Reactions
240 Replies
18K Views
In 4 years, Thomas Sankara - Built 350 schools, roads, railways without foreign aid - Increased literacy rate by 60% - Banned forced marriages - Gave poor people land - Vaccinated 2.5 million...
4 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimeona clip za video za baadhi ya watu wanaodai kuteswa na Sabaya. Zaidi ya madai yao hawaelezi wameteswa wapi na kwa sababu gani. Sabaya alikua Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya...
6 Reactions
95 Replies
8K Views
Wakuu kuhusu kilichotokea huko kwa kwa Sabaya ni kama mlivosikia, swali ni je hukumu hiyo imetolewa kama kuwafumba macho Watanzania ili itakapotolewa (mvua) hukumu kwa Mbowe ionekane kwamba...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu Naombeni maelekezo zaidi hapa ili nielewe zaidi Nakumbuka kuna siku Sabaya alikiri makosa ya unyanganyi na akasema kwamba alikuwa anatumika zaidi makamu wa rais Dr Mpango na Governor Luoga...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Hatimae kijana Jasiri, imara kweli kweli amehukumiwa 30yrs nyuma ya nondo, huu ni mzunguko wa kwanza, bado kuna mizunguko miwili nasikia.... Tumekua tukiwasihi hata kwa machozi, vijana...
2 Reactions
1 Replies
610 Views
Habari wakurugenzi..! Binafsi nimekuwa nikimfatilia sana mkuu wa wilaya wa Hai aliyepita ndugu Sabaya. Kiukweli nimefuatilia interview zake na pamoja na wale wanaomshutumu nyingi zinaonyesha...
9 Reactions
61 Replies
5K Views
1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama 2. Punguzeni Vitisho 3. Punguzeni Matusi 4. Punguzeni Mikakati ya Fujo 5. Punguzeni Kuhamasishana 6. Punguzeni Kukamia Kukomoa 7. Punguzeni Propaganda za...
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Napendekeza sheria ichukuwe mkondo wake na wala asiwepo wa kupona. Kila mmoja wetu anafahamu what happened October 2020 ambapo watumishi Hawa wa umma waliharibu mfumo wa uongozi na misingi ya...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Ukiachilia mbali mfanano wa kabila, Sabaya ni Sokoine wa kipindi hiki cha utandawazi. Hawa wote, ni wamasai, kama walivyo wasukuma, wamasai ni jamii ya watu jasiri sana, sijajua kwanini hawa watu...
6 Reactions
105 Replies
9K Views
Binafsi upenda kumuangalia sana Kenyatta na kupata wazo kuna aja ya kuwapa uongozi damu ya wapigania uhuru. Uhuru Kenyatta anatakiwa kuwa kitabu shule na vikaoni tumsome. Utu Demokrasia Haki...
15 Reactions
110 Replies
6K Views
Wakuu,hukumu ya DC aliyesimamishwa ndg.kada Ole Sabaya inatangulia mbele ya uporaji na uvunjaji wa sheria unaofanywa na CCM kwenye uchaguzi. Hata akitoka kwa rufaa au msamaha wa...
1 Reactions
1 Replies
845 Views
Habari za leo ndugu zangu wa chama cha CHADEMA. Leo nataka niwaibie siri ila siwalazimishi kuifuata ni juu yenu. Ni hivi, "CHADEMA mkimwomba msamaha Magufuli na kuamua kufuata sera na maono...
23 Reactions
134 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakuu, Jana Mbunge wa Hai na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe Freeman Mbowe alifanyiwa Vurugu kwenye Mkutano uliokuwa ukifanyika katika kijiji cha Kikafu Chini, Kata ya...
73 Reactions
360 Replies
38K Views
Hii picha naanza kuielewa anyway ...mwamba arudishiwe mahari ama mahari hairudishwi [emoji23]
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimefuatilia Sana nyendo za Rais Samia Suluhu Hasan,anajua siasa Sana Ila anajua namna ya kuwa mtulivu na anajua kuwasoma wapinzani ndani na nje ya chama chake,subirini muone
0 Reactions
0 Replies
703 Views
Hukumu ya kifungo cha miaka 30 kwa Sabaya, ni zaidi ya nilivyotarajia. Nimeumia kiasi, siyo kwa sababu ameonewa bali naiona ni kama kifungo cha maisha. Hii imekuwa sawa na msiba wa Rais Magufuli...
2 Reactions
6 Replies
831 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…