Sabaya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa ujambazi wa kutumia silaha. Katika kujitetea, mara nyingi amesema kwamba alikuwa anatekeleza maagizo ya mamlaka iliyomteua.
Kwa maoni yangu, hata bila...
Rais Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
Hata kama haijaisha, lakini ukweli lazima tuuseme.
Nimepita jana nikitokea mkoani, ukweli contractor anajitahidi sana japo najua anapambana na changamoto nyingi.
Kwa kuangalia tuu ujenzi wake...
Zamani kuna historia kuwa Mobutu alipoona uchumi unaenda hovyo akaajili mbobezi kutoka Ulaya kuwa gavana wa benki kuu.
Jamaa akaja na mipango mizuri sana ya kuokoa uchumi. lakini alikuta vikwazo...
Regional Development Director ataratibu maendeleo ya mkoa huku District Executive Director akisimamia maendeleo ya wilaya kama ilivyo sasa.
Zonal Commissioner atasimamia maswala ya Ulinzi na...
Ujenzi wa mji wa serikali mkoani Dodoma unaendelea, na hivi sasa mtandao wa barabara za lami katika mji huu ni kama umekamilika na umebadilisha kabisa muonekano au mandhari ya huu mji.
Hata...
Kuna watu wabinafsi na walaku wa mali kupindukia ambao badala ya huo ulaku na ubinafsi kuutumia kutafuta mali zao wanafikiria kupora mali za umma.
Ubinafsishaji wa mashirika mengi ya umma...
Tulimzuia Dangote kutoa makaa ya mawe kutoka S.Afrika, je migodi yetu ya makaa ya mawe ipo hali gani leo? Kutoka kwenye lesson leant tunaamni mawazo yetu yalikua sahihi?
Tulidhibiti usafirishaji...
HUKUMU YA SABAYA, UDIKITETA NA MADAI YA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA
Huko nyuma, sisi Askofu tulionya mara nyingi kuwa nchi yetu ilikuwa imeabiri meri iliyokuwa inatupeleka katika ng'ambo ya...
CCM ni chama kinachoheshimika sana Afrika na duniani kote.
CCM ndio kimezaa vyama vyote vya siasa nchini.
Tabia za kihalifu zilizoonyeshwa na baadhi ya wanachama wake wakiwemo Hamza na Ole...
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda...
Serikali ya awamu ya tano ilitumia nguvu na rasilimali kubwa ya nchi ikiwamo rasilimali fedha kuwatumia Acacia na kuingia mkataba na Barrick (wanaume) na tukapewa matumaini makubwa kuwa Barrick...
Ni vitu gani ambavyo viongozi wetu walifanya nyuma ila pale unapo kumbuka unabaki na mshangao na kujiuliza maswali yasio na majibu
Mimi nakumbuka mwaka fulani nipo kijijini kwetu kulikuwa na...
Kadri siku zinavyokwenda nazidi kujifunza, moyo wangu unapondeka, unyenyekevu unatawala.
Kwanza kabisa, nimepoteza watu wengi sana wa maana katika maisha yangu, watu niliowapenda na kuwategemea...
Japo tunaka kamsemo ketu "unda tatizo kisha tatua" ila sasa hiyi ni too much haiwezekani
Hivi haya mambo tunayoyafanya hata kama ni kulinda vyeo unajisikiaje ukifanyiwa wewe
Unakuta kiongoZi...
Mitandao ya kijamii inashiriki sana kuelimisha umma wa Watanzania kwa namna mbalimbali kuanzi hapa Jamiiforums, Twitter n.k
Nashauri serikali ianze mpango wakutoa Motisha kwa baadhi ya...
Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc...
Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu?
Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi?
Makamu wa Rais ni...