Rais mpe Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa

Hapana c sawa yaani aanze tena kwenda kupiga kelele kule bungeni afadhali wamuache apumzike tu.
 
Mama Samia ikikupendeza sana mpatie Mwalimu Janeth Magufuli Ubunge wa kuteuliwa kama alivyofanya Hayati Magufuli kwa Salma Kikwete, ambaye nae alikuwa mwalimu.
Hana haja ya huo ubunge. Sidhani kama ni mroho kama Salma Kikwete au Janet Museveni. Acheni huruma za kifisadi. Kazi ya kutunza familia yake inamtosha hata malipo ya mumewe ukiachia mbali miradi ya familia. Muache aomboleze kifo cha mumewe.
 
Back
Top Bottom