Raisi Samia pole kwa majukumu, napenda kukukumbusha kuwa kipindi kile bando limepanda Sana, ulitoa kauli na tunashukuru bei za bando mpya zikashushwa.
Ulienda mbali na kuonya hili suala...
Natumai unaendelea vyema na majukumu yako kama mwenyekiti. Naomba nitumie nafasi hii kutoa maoni yangu juu ya kauli zako na za viongozi wa chini yako wa UVCCM. Hii ni kama njia ya kuelimishana...
Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza.
Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara.
Kwa wiki mbili...
Siasa ni mchezo mbaya umejaa unafiki wa kila aina. Ninawasikiliza wanasiasa wanavyosema Mama umejenga, Mama umetenga, Mama unakusudi jema sana.
Yote hayo ni maneno mabaya kwa maana ya kumtwisha...
- Ni baada ya kuchoshwa na Vifo vitokanavyo na ajali zitokanazo na Madereva kutoheshimu alama za Barabarani.
- Achukizwa na kutowajibika kwa Watendaji wa TANROAD.
- Alitaka Jeshi la Polisi na...
Nimemuona Zito ametwiti kuwa iundwe tume ya kijaji kuhoji watu wote walioteswa, kuumiza na kuharibiwa mali zao wakati wa awamu ya tano.
Mimi naona nchi yetu inahitaji jambo kubwa kabisa kwa sasa...
Zamani ilikuwa ni ugomvi.
Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita.
Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe...
Amani na utulivu,
Ndio kauli za viongozi wa Tanzania ambao wanahisi wanalinda amani na utulivu kumbe Watanzania ni waoga wa kudai haki zao za msingi.
Angalia chaguzi za Zambia na Malawi utajua...
Wana jamvi,
Ni miongo kadhaa sasa kwa mjibu wa sheria kila anayepata ajali ili apokelewe na kutibiwa na hospitali/zahanati au vituo vya afya ni sharti mgonjwa awe na Fomu iliyotolewa na kituo cha...
CCM bado inamuenzi hayati Julius Nyerere na vizazi vya akina hayati JPM kulinda ustawi wa taifa letu.
Au CCM imegeuka kuwa Chama cha mafisadi na sasa inaendeleza kutafuna mali za umma.
Maana...
Mirerani. Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amesema kwa sasa hazungumzi sana Bungeni kutokana na utendaji kazi mzuri wa Serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia...
Wanajamvi naangalia Matendo ya Mama nazidi kuchanganyikiwa hebu tushirikishane kidogo maana yake huko Nyuma tuliambiwa Hayati alikuwa ananyoosha nchi.
Sasa hivi naona Mama anafanya yafuatayo...
" MTU yeyote mwenye akili akikupa mawazo ya kipumbafu na wewe una akili anajua unajua Ni ya kipumbafu ukayakubali anakudharau" Mwalimu JK Nyerere
Sina access kupakia video clip husika anaemudu aweke.
Hii ni kauli aliyoitoa Mbowe zaidi ya mwaka mmoja uliopita dhidi ya Sabaya na washirika wake. Mbowe aliitoa kauli hii kwa ujasiri mkubwa na hadharani wakati huo Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai...
Kuna makatibu wa CCM wilaya na Mikoa wasipobadilishiwa vituo vya kazi. Mapema na ksbla ya ichaguzi mkuu wavchama CCM 2022 watachagua mamluki na watu wasio na sifa.
Pili wamekuwa miungu watu kwa...
Mtangazaji nguli na mwendeshaji wa kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na Star tv Aloyce Nyanda aka Mtozi ameonesha kushangazwa na watanzania wa mitandaoni wanaotumia muda mwingi kumjadili...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Chekereni, Arusha amewaambia wananchi kuwa wanaotumbuliwa ni wale legelege ambao sio wachapakazi
Amesema vijana wachapakazi ambao matunda yao yanaonekana hawawezi...
Ofisi ya Msajili wa Vyama na Msajili wana wajibu kwa vyama kama ilivyo kwa vyama, kwao. Hii pia ni kama ilivyo kwa serikali na wote hawa.
Yote hiyo iko kwa mujibu wa sheria wazi na bayana katika...
Kwa uchache hapa nitaweka baadhi ya sera za kudumu za CHADEMA ambazo zinawagusa Diaspora moja kwa moja. Sera hizi zimekuwepo wakati wote toka CHADEMA ishike kasi hapa Tanzania na zilikuwa sehemu...
Unless kama mamlaka za uteuzi zimekutuma ufanye Interview ile, Ila kama ni wewe binafsi umejiamulia kwenda kufanya hiyo interview basi wewe na aliyekushauri mmebugi sana.
Kubugi kwenyewe ni hivi...