Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa kauli nzito kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akidai kuwa ripoti hiyo...
MIAKA 4 YA SAMIA, TRA YAKUSANYA TZS 121 TRILIONI. MIAKA 5 KABLA YA SAMIA ILIKUSANYA TZS 91 TRILIONI.
Miaka minne (4) ya Rais Samia TRA imekusanya jumla ya TZS 120.8 Trilioni~121T.
Wakati...
GHATI CHOMETE ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA MHE. LUKUVI, IRINGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), tarehe 31 Machi 2026 alishiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa...
Hongera sana Samia, hongera sana TRA ya Kamishna Mwenda na hongera sana Walipakodi wote.
My Take
Hizi ndio takwimu ambazo zinawaudhi sana Chadomo na wale mataga kuona Mama amekuwa extra...
Ndugu zangu Watanzania,
Mamillioni kwa mamillioni ya watanzania wameonyesha kuguswa na kukoshwa sana na Hatua ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka...
Kuna ufisadi wa kutisha kwenye ujenzi wa barabara za mitaa Kariakoo lakini diwani wa kata hiyo Haji Manara yuko bize kutetea matajiri na kuhamasisha wamachinga wafukuzwe kila kona!
Wanachokifanya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La...
My Take
Kila awamu iliyotangulia ilijenga msingi wa mafanikio ya awamu inayofuata.Ni Juu ya Kiongozi wa awamu husika kuchakata maono na akili zake kukusanya pesa zaidi Ili kuhudumia Wananchi.
Pia...
Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu...
Huu ni ushauri tu kabla mambo hayajawa mabaya na kuvumbuliwa. Yaani lita moja ya petroli ambayo wiki mbili zilizopita ilikuwa ikiuzwa 3100 leo ni 4000? Bado serikali inaona ni sawa? Endapo hali...
Huyu ndiye kinara wa kuharibu matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania 2015 , hakuna aliyesahau , alipandikiza watu wake kwenye Tume ya Uchaguzi ili kuwabeba wagombea wa chama chake, aliamuru...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema uchumi wa Tanzania unaendelea kukua akibainisha kuwa kasi ya ukuaji wa kitaifa imepaa hadi kufikia 6.0% licha ya...
Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa.
Bila uwajibikaji...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza akiwa Kata ya Chang'ombe Wilaya ya Songwe kwenye mkutano wa hadhara amewaasa Wanaume kutokimbia majukumu yao ya kutoa matunzo kwa...
Wakuu,
Akizungumza Ikulu jijini Dar es Salaam leo Machi 30, 2026, Samia Suluhu Hassan ameiagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kuanza utaratibu wa kuyaanika hadharani mashirika na...
OCTOBER 30: USO KWA USO NA BUNDUKI.
Anaandika: Robert Heriel
Mtibeli.
1. Nitafupisha Sana kadiri iwezekanavyo maana wasomaji wangu wengi wenu hampendi vitu virefu.
2. Usiku wa tarehe 29...
Tunaambiwa hawa Moodys wamekuja kutathmini hali yetu ya kukopesheka, hii maana yake ni nini? Mtu ambae hakopesheki ni yupi na mtu anaekopesheka yukoje?
Kwa uelewa wangu, mtu anaekopesheka ni...
Nafikiri suala hili amuulize G. Msigwa ndiyo Katibu Mkuu mwenye Dhamana ya viwanja vya michezo Tanzania, anaweza jua Bajeti ya Bilioni ngapi imetengwa, au Mkataba wa Bilioni ngapi umesainiwa na...
Sasa kwanini mnaendelea kulalamika sasa? tulizeni vichwa sasa sio kelele nyingi
=============
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Dorothy Semu amesema chama hicho hakijutii wala hakitajutia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.