Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Crispin Chalamila akiwasilisha Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya...
Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa...
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akitoa sifa za Dkt. Fatma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akizindua jengo la Taaluma na Utawala, pamoja na Bweni...
Najua jaji Othman Chande yuko compromised toka siku anachaguliwa, bila shaka pia ni mtu wa mfumo hakuna lolote jipya tunaweza tegemea.
Japo hii tume haina uhalali wowote lakini inaweza kurejesha...
Mama Samia anaona kama anapotezewa muda tu kwasababu anachofikiria ni makusanyo ya pesa ili wapige deal na marafiki na ndugu zake!
Mfano deal ya Kia na miradi mingi. Hakuna hata nia ya kupambana...
Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa fisadi?
Jibu tunalo wengi ni Bwege pamoja na shida zake alikuwa Mzalendo na tutamkumbuka kwa hilo. Hajauza nafsi yake kwa pesa.
Huyu Bwege alikuwa Mzalendo...
Ongezeko la vijana wanaofikia umri wa miaka 18 kila mwaka, na moja kwa moja kuomba kujiunga na chama cha mapinduzi ccm, kunaonyesha mapenzi na imani ya vijana kwa ccm, lakini pia kuna toa fursa...
Na hizi mvua ambazo zimeanza kunyesha ni hatari sana!
===========
Diwani wa Kata ya Goba Lawrence Mlaki ameishukuru serikali kwa kuchukua hatua juu ya daraja la Goba Mtipesa ambapo imeagiza dara...
Profesa Lipumba akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya ofisi ya CUF, jijini DAR amesema kuwa uchaguzi wa 2025 haukuwa huru wala wa haki na ulighubikwa na mauaji ya watanzania wengi wao wakiwa...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles E. Kichere akiwasilisha Ripoti za ukaguzi za kila Mwaka leo Machi 30, 2026 Ikulu Dar es Salaam
" Kwa uapnde wa vyama vya siasa chama...
Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini.
Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini.
Hakuna Jeshi lolote...
Tunaanza Upyaaaa,
Mpango aidha atoe hela au ajiuluzu, asipotugea daraja wabunge wa Kusini tunaadamana, varangati la gesi kusini linarudi tena, yaani Tunaaza Upyaaaaaaaaa
Pia soma: TANZIA -...
Chadema wamekuwa na tabia za hovyo sana za kuingiza siasa kwenye vifo vya watu bila kujua kuwa Kila mtu ameumbiwa kifo, kifo hakina chama, hii umefanya Leo wanaona haya kutangaza msiba wa mtu wao...
Mwanasiasa machachari na aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Senior Selemani Said Ally Bungara, maarufu "Bwege," ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama cha ACT Wazalendo kuanzia jana, Februari...
Ni wazi kwamba serikali ya ccm imetengeneza chuki miongoni mwa wananchi hasa kwa kuwatenga watu wasioamini katika ccm na kuwafanyia kila aina ya dhuluma ghiriba ubaguzi na hata ukatili wa waziwazi...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imesema hadi kufikia Juni 30, 2025, deni la Serikali lilifikia trilioni 110.05, deni la ndani likiwa TZS trilioni 35.5 na deni la nje...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.