Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu.
Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana
Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Ndonde Totinan amejiondoa rasmi katika nafasi yake pamoja na kujivua uanachama wa chama hicho, akieleza kuwa uamuzi...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mapendekezo yake ya namna ya kudhibiti ubadhirifu wa mali za umma nchini Tanzania, akisisitiza kuwa bila mabadiliko...
Nashangaa kuona mtu amesoma Sheria lakini bado hajui mchakato wa report ya CAG kikatiba upoje?
Yani mwanasheria analalamika Leo juu ya taarifa ya CAG wakati ndo kwanza ipo hatua ya...
Hivi jamani kuna ugumu gani Serikali kuanzisha vyuo vikuu vya maswala ya dawa za asili?
Nilidhani pale Muhimbili wanatoa kozi kumbe ni wizi mtupu hakuna cha maana Serikali ilitizame hili swala...
Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea...
Wakuu,
Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili...
Wakati mwingine mbunge ukikosa hoja ni bora ukakaa kimya. Kuwaambia wananchi wasiwe na mihemko ni tusi kubwa sana kwa wapiga kura. Mbunge ungetakiwa kuwafariji wananchi wakati huu serikali...
Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami, mke wake, mtoto pamoja na dereva wao, wanahofiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa...
Mwandishi wa habari nchini Uganda, Arnold Anthony Mukose, aliyeripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana mnamo Machi 29, 2026, amefikishwa mahakamani na kupelekwa gerezani kwa tuhuma za kutangaza...
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu amesema kuwa Halmashauri zitakazobainika kuwa zilipuuza agizo la Serikali kununua dawa za malaria pamoja na kuwa zimepewa fedha, basi hatua kali zitachukuliwa...
Wakuu,
Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu...
Taarifa njema
Kwa wale wenye KADI za uanachama CCM na machawa, hakikisha una kadi yako ya CCM, Yani wewe ukifika tu sheli, chomoa KADI yako muoneshe muuza mafuta, basi atakuuzia mafuta kwa bei...
Ndugu Watanzania,
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi.
Amekutana Na kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Kanisa la Katoliki Duniani Papa Leo ndani...