Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,643
- 218,099
Tusome kwa umakini
Maneno ya busara sana,tumtangulize Mungu Mbele.
HakikaMbowe Mwamba wa Afrca
Kwa matamshi hayo ya jaji, ni rahisi tu kubashiri maamuzi
Mkuu kesho nimeaga kwenye kibarua mapema ,lazima kiongonzi wangu nisikilize KESI yake, maisha tunapita ila HAKI itabaki KWa jamii yangu iliyonizunguka iwe jua au mvua na kizazi changu pia , chi imekua na wahuni Sana KILA mtu anavutia kwake ,anzia vyama uchwara , mashirika ,japo ukimwangalia wamekauka hata pesa hawana , Mungu anasema watakoma Sana wasubili
Karibu sana , nitawaletea moja kwa moja kutoka kizimbaniMkuu kesho nimeaga kwenye kibarua mapema ,lazima kiongonzi wangu nisikilize KESI yake, maisha tunapita ila HAKI itabaki KWa jamii yangu iliyonizunguka iwe jua au mvua na kizazi changu pia , chi imekua na wahuni Sana KILA mtu anavutia kwake ,anzia vyama uchwara , mashirika ,japo ukimwangalia wamekauka hata pesa hawana , Mungu anasema watakoma Sana wasubili
Hawa watapata wapi haki mkuu.Mungu ni mwema haki itashinda dhuruma
Mkuu hivi nianzia saa ngapi mkuuKaribu sana , nitawaletea moja kwa moja kutoka kizimbani
3 kamili asubuhiMkuu hivi nianzia saa ngapi mkuu
Hivi ulinunuliwa bei gani ?Mbowe ni gaidi,lazima akinywee kikombe Cha mateso