Video: Jinsi CCM ilivyo na uwezo wa kuwawajibisha watumishi wa Umma

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Hakika nilikuwa sijui kuwa Katibu Mkuu wa CCM ana mamlaka makubwa kiasi hiki.

Aliyekuwa katibu mkuu wa CCM anajitanabaisha na kujimwambafai kuwa yeye ndiye anayewewapangia Mawaziri na wakuu wa mhimili mwingine kutenda kazi.

Ama kweli chama kimeshika hatamu.
 
Hakika nilikuwa sijui kuwa katibu mkuu wa ccm ana mamlaka makubwa kiasi hiki.

Aliyekuwa katibu mkuu wa ccm anajitanabaisha na kujimwambafai kuwa yeye ndiye anayewewapangia mawaziri na wakuu wa mhimili mwingine kutenda kazi.

Ama kweli chama kimeshika hatamu. View attachment 1979915
Kwani hujui huyo alikuwa Katibu Mkuu wa Chama Dume na hao Mawaziri wako chini yake? Au kwa kuwa akili zako umeshikiwa na Chadema!!
 
Wewe zako zimeshikiwa na mizimu ya mlima korelo
 
Kwani hujui huyo alikuwa Katibu Mkuu wa Chama Dume na hao Mawaziri wako chini yake? Au kwa kuwa akili zako umeshikiwa na Chadema!!
Bashiru alionja ikulu kwa mwezi mmoja tu kwiiishaaaaa
 
Hakika nilikuwa sijui kuwa katibu mkuu wa ccm ana mamlaka makubwa kiasi hiki.

Aliyekuwa katibu mkuu wa ccm anajitanabaisha na kujimwambafai kuwa yeye ndiye anayewewapangia mawaziri na wakuu wa mhimili mwingine kutenda kazi.

Ama kweli chama kimeshika hatamu. View attachment 1979915

Bashiru alionyesha upunguani wa hali ya juu

Siasa na wanasiasa

Screenshot_20211016-092642.jpg
images (9).jpeg
 
Back
Top Bottom