Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hayati Rais Magufuli, yawezekana ndiye alikuwa mtu jasiri kuliko mwanadamu yeyote nchini Tanzania. Kusema kitu ambacho hakipo, huku ukijua kuwa ukweli utakuja kujulikana lakini ukang'angania...
20 Reactions
42 Replies
3K Views
Yaliyojiri mahakamani leo yanaacha maswali mengi yasiyoweza kuwa na majibu Ni vipi athari za shauri kuangaliwa kwa upande wa mashtaka tu? Ni vipi Jaji kuwa mshauri wa upande wa mashtaka? Vipi...
18 Reactions
20 Replies
3K Views
Jaji Tiganga anayesikiliza kesi ya Freeman Mbowe inayohusiana na ugaidi amekubali kuwa sheria iliyotumika ili ushahidi upokelewe mahakamani imekosewa kutoka upande wa mamlaka ya kiserikali au...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Bunge limepokea muswada kutoka kwa Rais Samia Suluhu unaopendekeza kufutwa kwa Sheria ya Tozo ya Kodi ya Mazao iliyokuwa ikitoza kodi ya zuio ya 2% mwananchi akiuza mazao ya kilimo, mifugo na...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Taarifa hii ya kutiliwa mashaka imetolewa bungeni na Naibu Waziri wa Afya Mh Mollel alipokuwa akijibu Swali LA MBUNGE ASIYE NA CHAMA HALIMA MDEE , aliyetaka kujua idadi ya waliokufa kwa corona...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Salaam Wakuu Wakili Peter Kibatala yupo mahakamani anaendelea na kesi ya Freeman Mbowe. Si kweli kwamba kajitoa.
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna muda huwa tunakaa kimya tu. Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika? Can it be accounted for?
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili. My take. Hili ni Jibu kwa...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Uhuru Na Umoja Online Ukitaka kwenda upesi nenda peke yako, lakini ukitaka kwenda mbali nenda na wenzako, msemo huu wa wahenga ndiyo unaoongoza falsafa ya Rais Samia Suluhu Hassan katika...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za...
8 Reactions
70 Replies
9K Views
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha imeahirisha kwa mara nyingine shauri la uhujumu Uchumi linalomkabili aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya na wenzake sita baada ya...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Nikukumbushe TU Bwana waziri wa fedha na Mipango, nyinyi hamjawa wa Kwanza kufanya miradi mikubwa ya ujenzi, wapo maraisi walioivusha Tanzania kutoka hatua ya chini kabisa wakati huo Dar-mwanza...
4 Reactions
3 Replies
569 Views
*Ubalozi wa Marekani waahidi kuwasaidia waandishi Tanzania . Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Bwana Donald Wright ameahidi kusaidia programu mbalimbali za habari ili kulinda uhuru wa kujieleza...
2 Reactions
5 Replies
992 Views
Tundu Lissu Kurejea Nchini Mwakani.....Kaka Yake Asema Risasi Iliyoko Ndani ya Uti wa Mgongo haitaondolewa Wito wangu tuzidi kumwombea ndugu yetu TAL , afya yake izidi kuimarika. Hakika Mungu...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Wasalamu sioni haja ya kujenga madaraja vivuko vya magari kwenye mapitio ya magari wakati kuna njia mbadala na nafuu kwanini msiinue reli kwa kuongeza ukubwa wa tuta treni ipite juu magari yapite...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wana JF Kutoa pongezi kwa upande wa pili. sio kosa ila ni kitendo Cha kiungwana mkubwa Nawapongeza Msigwa na Kibatala kwa kutekeleza kwa Weledi mkubwa majukumu ya kimkakati mliyokabidhiwa Ama...
4 Reactions
9 Replies
943 Views
Kutokana na kuibuka kwa hoja kwanini mradi wa Bwawa la Mwl. Nyerere umechelewa na huko asilimia karibu 45 hadi sasa, na kimkataba ilitakiwa asilimia karibu 90. Mhe. sana Waziri wa nishati...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Spika Ndugai ametangaza mabadiliko madogo ya ratiba ya vikao vya Bunge ambayo yametokana na Muswada wa Hati ya dharura kutoka kwa Rais Samia ambapo amepeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria...
9 Reactions
81 Replies
8K Views
Baada ya kuelezea 'scenario' ya jana rafiki yangu mmoja amenitafuta. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, lakini sikuwahi kujua sana kuhusu upande wa pili wa maisha yake. Yeye ni firstborn kwenye...
23 Reactions
113 Replies
21K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…