Kyela: CHADEMA Digital yafanyika chini ya miti baada ya wamiliki wa kumbi za mikutano kutishwa na Mamlaka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,650
218,110
Hapa ndipo Nchi nzuri ya Tanzania ilipofikishwa na Watu waoga walioshindwa hoja .

Taarifa inaonyesha kwamba Wamiliki wote wa kumbi za mikutano Mjini Kyela wamepewa onyo la kutowapa nafasi kwenye kumbi zao Chadema kwa ajili ya shughuli zao , Watakaokiuka onyo hilo watabambikwa kesi za uhujumu uchumi na utakakatishaji fedha .

Hata hivyo Wanachama wa Chadema Kyela imebidi wajichukulie nafasi kwenye Ukumbi wa Mungu mwenyezi , ambapo ni chini ya miti ili waendelee na mipango yao kufanya usajili kwa njia ya kisasa ya Chadema Digital

Ziara_ya_Chadema_Digital_Leo_timu_yangu_ipo_Wilaya_ya_Kyela._%0A%0ATupo_chini_ya_mwembe_Kwa_sa...jpg

Mungu ibariki Chadema .
 
Hapa ndipo Nchi nzuri ya Tanzania ilipofikishwa na Watu waoga walioshindwa hoja .

Taarifa inaonyesha kwamba Wamiliki wote wa kumbi za mikutano Mjini Kyela wamepewa onyo la kutowapa nafasi kwenye kumbi zao Chadema kwa ajili ya shughuli zao , Watakaokiuka onyo hilo watabambikwa kesi za uhujumu uchumi na utakakatishaji fedha .

Hata hivyo Wanachama wa Chadema Kyela imebidi wajichukulie nafasi kwenye Ukumbi wa Mungu mwenyezi , ambapo ni chini ya miti ili waendelee na mipango yao kufanya usajili kwa njia ya kisasa ya Chadema Digital

View attachment 1994673

Mungu ibariki Chadema .
Tulishasema kuwa cdm ni mkono wa Mungu.
 
tuwe makini sana na hawa wafuasi wa mboe hawa watu wana chembe chembe za kihalifu.
wanapaswa watupiwe macho muda wote hadi wanapo jisaidia.
 
Sasa nimekubali kwa kweli Chadema ipo kwenye mioyo ya watu.
Hakika na huo ndiyo ukweeeriiii ndiyo maana hata ccm wanaiogopa sana cdm.

Cdm inakubalika kwa watanzania wengi zaidi bila ya kuwapatia zawadi za khanga au kofia wala kuwatisha.
 
Back
Top Bottom