Wana CHADEMA mtaweza?

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Tunaona majilabu mengi sana kila unapokuchwa na hawa Chadema ,siku hizi wanasema CHADEMA DIGITAL, kila sehemu unasikia wananchi wengi wanahidhuria na kujiunga au kuitikia wito.

Suali:
Je, wanaweza kuitikia wito wa chama watakapohitajika kupinga zulma kwa hali na mali na uhai, tuseme Chadema wenyeviti na meza wamesema wananchi wote tarehe fulani waandamane nchi nzima kudai Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi?

Je, wananchi hao wapo tayari kuitikia wito huo na kujitokeza barabarani kudai madai nyeti ya KATIBA na Tume Huru ya Uchaguzi?
 
Back
Top Bottom