Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeangalia muda huu live coverage mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake nchini Misri. Kilichonifurahisha kumbe this time mama amekwenda na air Tanzania, angalau hii...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao. Kwa upande...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Spika Ndugai atajidanganya pakubwa kumnyooshea kidole Ulimwengu. Aliyoyasema Ulimwengu yanawakilisha maoni ya wengi. Zanzibar inapongezwa kwa hali ya maridhiano iliyopo inayeleta kupungua kwa...
15 Reactions
26 Replies
3K Views
DIWANI ILEJE ANUSURIKA KIPIGO CHA WANANCHI KISA UJENZI WA KITUO CHA AFYA,DC AFIKA NA KUZOMEWA, MGAMBO Akatwa MAPANGA. Diwani wa kata ya Ndola Mhe Bahati Kyomo amenusurika kupigwa na Wananchi wa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kwanza tunaomba radhi sana kwa kuwachosha na hizi habari zetu za Chadema Digital, tunaomba tuvumiliane kidogo. Hapa ni kijiji cha Mwantini kwenye Jimbo la Solwa huko Shinyanga ambako semina...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Nakumbuka enzi za hayati rais Magufuli Alituambia kusafiri kwenda nje kuna gharimu sana pesa Ndio maana yeye hakutaka kusafiri Ila sasa mambo yamekuwa tofauti utawala huu Nauliza tu mimi kama...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Africa's Sights Set on Oil and Gas Haul Despite Global Shift Yousef Saba and Raya Jalabi Friday, November 12, 2021 Illustration - Credit:Tim on Tour/AdobeStock Several African countries plan to...
1 Reactions
2 Replies
644 Views
Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu. Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki. Inafahamika kuwa...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Mzee wetu Generali Ulimwengu amefunguka mengi juu ya kujipendekeza. Tazameni ujumbe alio utoa juu ya viongozi wa muhimili mmoja kuamua kujikomba kwa muhimili mwingine. Hili liwe ni fundisho kwa...
39 Reactions
65 Replies
6K Views
1. ACP Kingai, Afisa wa polisi 2. Justine Kaaya, Afisa wa polisi?? 3. H 4323 Constable Msemo, Afisa wa polisi 4. Anisha Valerian Mtalo, Mama muuza mbege 5. Fredy Kapara, Mwanasheria tiGo 6. SSP...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Neno Machinga linasimama hapa kwa niaba ya kada yote ya chini, yaani wavuja jasho. Humo kuna Boda boda, wapiga debe, mama lishe, makuli, vibarua, nk, wakiwamo pia machinga wenyewe. Machinga...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Yaani hii ni nchi ya Wadanganyika every year... Waziri na PHD yake ya Uchumi, anasimama na kusema uwongo mchana kweupe..... Eti Uchumi unakuwa kwa 7% while kilimo ni 4% Asilimia kubwa ya...
2 Reactions
4 Replies
950 Views
Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana...
17 Reactions
66 Replies
5K Views
Habari JamiiForums. Leo 08/11/2021 kilichotokea eneo la Mbezi Louis ni kichocheo cha vurugu. Hii inatokana na maamuzi yaliyotolewa na mkuu wa wilaya na viongozi wengine ambao waliongozana kwenye...
9 Reactions
86 Replies
8K Views
Aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Ndugu Godfrey Gugai na Maafisa wengine watatu wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka 43...
7 Reactions
97 Replies
12K Views
Katika miongo miwili iliyopita, tumeshuhudia uwekezaji mkubwa ukifanywa na Serikali ya Tanzania kwenye miundo mbinu ya usafiri na usafirishaji. Ukiacha ujenzi wa barabara ulioongeza mtandao wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Huyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO. Halafu...
25 Reactions
58 Replies
6K Views
6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. 7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kesi hii inayovutia hisia za wengi, zaidi ya weledi ilihitaji uhuru stahiki wa mhimili wa mahakama na uthubutu wa Jaji katika kutoa haki tupu na kwa mujibu wa sheria. Pungufu ya hivyo...
34 Reactions
89 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…