Hivi kiuhalisia Mtuhumiwa mwanamke anaweza kusachiwa na askari mwanamume?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,538
141,350
Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme.

Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa inakuwa Wanawake kwa wanawake na Wanaume kwa Wanaume.

Sabato njema!
 
Mahita mahakamani kasema anasachiwa
 
Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme.

Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa inakuwa Wanawake kwa wanawake na Wanaume kwa Wanaume.

Sabato njema!
Jibu analo ndugu yako afande Mahita mdogo.
 
Kama kusachi ni sawa na kupapasa basi hairuhusiwi, labda wawe wapenzi.
 
Shithole country anything goes....
Hata jidume anaweza kusachiwa na Aunty Ngosha au Aunty Dula........
 
Tunaposema Polisi Wanatakiwa kuongozwa na kanuni zào ziitwazo PGO lakini wamezitelekeza na wanakwenda kama Kuku aliyekatwa kichwa Kwa vile uonevu na umatlli dhidi ya raia umekuwa ni kawaida na hawajali.

PGO 272(3) inatamka Wazi kwamba mtuhimiwa wa kiume atapekuliwa na Askari wa kiume isipokuwa pale Tu mazingira ya upatikanaji wa Askari wa kiume yanapokuwa magumu na ni lazima mtuhimiwa apekuliwd kwa haraka.

PGO 272(4) inasisitizatuhumiwa wa kike lazima apekuliwe na Askari wa kike na kama Hakuna Askari wa kike atafutwe mwanamke mwenye kuaminika particularly mke wa Askari aliye karibu.

Lakini Jana Mkaguzi wa Polisi anajitoa ufahamu na kusema Hakuna lazima mtuhimiwa wa kike kupekuliwa na Askari wa kike.
 
Nauliza tu kwa wale wajuzi wa mambo ya kiuchunguzi na kiupelelezi kama inakubalika kisheria mtuhumiwa wa kike kusachiwa na askari mwanamme.

Nimezoea pale Uwanja wa maonesho ya Sabasaba huwa inakuwa Wanawake kwa wanawake na Wanaume kwa Wanaume.

Sabato njema!
Kwa mujibu wa polisi msomi wa degree ya sheria hiyo ina wezekana. Mwanamke kumpiga tero mwanaume. Na kinyume chake. Lakini kiutaratibu hiyo haipo kwenye Pgo zao.
 
Kutokana na ulaini wa miili ya wanawake, ile kugusana tu naye tu kwa mwanaume rijali ni lazima huanza kuamsha hisia za kuhisi kautamu ka namna fulani na hatimaye kunogewa na kutaka kupapasa "deep" zaidi.

Polisi kiume ni vyema akadili na mtuhumiwa wa jinsi yake, ili kutuliza mzuka na hapo pengine ukute mtuhumiwa wa kike ni bonge ya "pisikali" hapo ndipo shida inakuwa kubwa zaidi. We fikiria tu sifa za uwepo wa chura wa haja, madodo kifuani, paja za nguvu, guu la kweli, sura ya kimdoli, mmh!
 
Back
Top Bottom