Toka tupate Uhuru 1961 Tanzania imetawaliwa na Tanu na baadaye CCM lakini cha kusikitisha ni jinsi ya uchumi wa Tanzania unavyoendeshwa kwa njia tofauti katika utawala wote wa awamu sita.
Awamu...
Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa...
Iramba, Singida.
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amefanikisha askari 85 wa Jeshi la akiba waliohitimu mafunzo yao kupata ajira SUMAJKT. Mhe Mwenda ameeleza hayo...
Wakuu nauliza enzi zile zetu tukijipanga na kumpokea raisi tokea aiport hadi anapofikia hatukuona haya ya leo Rais anapokwenda huwaga na mambo ya kutisha .
Sina haja ya kuwachosha sana lakini...
Mimi ni mtu naependa consistency, mtu akishakua unpredictable siwezi kumuelewa.
Leo Zitto anashinda mitandaoni anamsema Marehemu Magufuli kwamba aliharibu uchumi, hakuna kitu alichofanya na...
EWE HAI! SIKIA SAUTI YA ASKOFU!
Kuna nini huko Hai ya Kilimanjaro? Mbona sauti za wana wa Hai zenye huzuni zinapiga kelele? Je, watawala wako ee Hai wanafurahia hali hiyo?! Ewe Hai! Usifurahie...
Profesa huyu aliyezunguka nchi nzima kuwaambia watanzania wanahitaji katiba mpya na leo hii anaigeuka jamaa kusemba kwa haruhitaji katiba mpya?
Huyu huyu Profesa aliyesema tuogope sana watu...
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.
(Source: TBC1)
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 17/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman...
Taifa lolote lenye nguvu duniani ni taifa lenye watu walio wazalendo na wenye akili nyingi na walio jiwekea misingi kuongozwa na watu wenye akili.
Taifa lolote duniani lililo na maendeleo na...
Watanzania wenzangu naomba tufanye tafakuri hii ili kuona na kupima maono ya viongozi wetu ambao tumewapa dhamana ya kutuongoza na kutufikisha katiko mafanikio ya juu kwenye historia ya mwanadamu...
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole Watanzania, wanafamilia kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na...
Kwako Mh J.J.P.MAGUFULI
Nakuomba kama kweli upo na dhamira ya kweli ya kupambana na rushwa na UFISADI nakuomba kwa niaba ya watanzania wenzangu
Nakuomba utangaze mali zako HADHARANI MAANA...
Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.
Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara...
Sijajua Waziri Kalemani anakwama wapi, hivi sasa yeye ndiye Waziri anayedharaulika kuliko Mawaziri wote,
Maagizo yake mengi yamekuwa yakipuuzwa sijui anacheka cheka na Raia au tatizo nini...
Yanayoendelea nchini kwa sasa kila mmoja anajionea dhahiri,hali tete,mipango inavurugwa ambayo kama Taifa tulijiwekea, nini kimetokea?
Huu ukimya kwa wale ambao tunaamini mnaushawishi lakini...
BASHE : SERIKALI ITAWALINDA WAKULIMA KWA GHARAMA ZOTE
Tanganyika, Katavi.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameweka wazi msimamo wa serikali juu ya kuwalinda wakulima nchini kufuatia...
Wabunge wawapo Bungeni huikisoa serikali vikali kwelikweli,huwabana mawaziri wa serikali kwa nguvu za hoja na hata kwa kejeli,huikosoa serikali Sana na mara nyingine hutoa maneno makali Sana.yes...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani atafanya Ziara ya kikazi Arusha kuanzia kesho Novemba 21, 2021.
Akiwa Arusha atawatunuku Kamisheni Maofisa Wanafunzi wa...