CCM wameanzisha mgao wa maji na umeme ili kueneza propaganda ya kukataa Katiba Mpya

MGOGOHALISI

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,157
2,000
Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya.

Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao. Watanzania tambueni huu mchezo wote ni mbinu ya CCM kukwepa dai la katiba.

Hawa watu hawajali ninkiasi gani shughuli za watu na uchumi unaharibika ila wanachoangalia ni kukazi hoja yao ya kukataa katiba mpya maana wanaiona mwiba kwao.

Tumeona kauli zinazokinzana kuhusu sababu za mgao na hiyo yote ni ishara kwamba tatizo hili limetengenezwa na wajanja wachache kwa manufaa yao binafsi.

Sasa tujiandae na mgao wa dawa na mahitaji muhimu ya shule tunapoelekea mwisho wa mwaka. Mengi ya kushangaza yanakuja.
 

elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
11,250
2,000
Miezi michache iliyopita dai la katiba mpya lilipamba moto. CCM wakaja na hoja kwamba wananchi wanataka maji na umeme na sio katiba mpya. Baada ya kuona hoja ya hitaji la maji na umeme haieleweki hatimaye hangaya kaamuru mgao wa umeme na maji ili kuhalalisha madai yao...
Nimeshuhudia binafsi kuanzia Ruvu mpaka Mwanakwerekwe mto umekauka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom