Ubovu wa Sheria zetu: Mbowe sasa anatumikia kifungo kisichopungua miezi 6 jela. Hukumu ilikamilika siku ya kukamatwa

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Mbowe alisema wamepanga kumpa kesi isiyodhaminika mapema kabisa. Yani mchongo aliujua.
Na msimamo wake NI kuwa wakifikishwa mahakamani hataongea chochote wakitaka wamfunge. Sasa sijui wanasheria wanasumbuka Nini.

Wanachokifanya mahakamani NI kuhalalisha kushikiliwa mahabusu mwezi wa nne mfululizo bila dhamana na kwa maana nyingine amefungwa tayari sababu kesi hii haiishi leo Wala kesho na akiwa na roho ngumu asipopigia jamuhuri magoti atasota Rumande zaidi ya mwaka mzima.

Kwanini hakusimamia msimamo wa awali wa kutojitetea na kupokea watakaloamua kwasababu.
1. Tayari kaisibitishia Dunia kila alichokisema awali kuwa walipanga kumpa kesi isiyodhaminika ili ashindwe kufanya siasa

2. Kama kunauwezekano ashinikize kisiasa kesi yake isikilizwe na majaji huru na si Hawa au kesi za Ugaidi iende mahakama za kimataifa.

3 . Kwa huu mchezo wa mahakamani ata alishinda kesi Leo atakuwa amesota vya kutosha. Na atakuwa ameshatumikia kifungo Cha kisanii jela.
 
Ccm wanataka kumuua Mbowe kiuchumi,kisiasa na kimwili,walianza kwa kuvunja club Billcanas baadae Magufuli na watu wake hawakuridhika wakaenda kuharibu bustani yake ya mabilioni lkn,Mungu ni mwema wamekufa wao Mbowe bado yupo na soon wengine watakufa tena na kumuacha Mbowe akiwa hai na mwenye afya njema!
Mungu aliyejuu ndiye Mungu wa Mbowe. Hao wanaccm na genge la wauaji wanajisumbua
 
Ccm wanataka kumuua Mbowe kiuchumi,kisiasa na kimwili,walianza kwa kuvunja club Billcanas baadae Magufuli na watu wake hawakuridhika wakaenda kuharibu bustani yake ya mabilioni lkn,Mungu ni mwema wamekufa wao Mbowe bado yupo na soon wengine watakufa tena na kumuacha Mbowe akiwa hai na mwenye afya njema!
Ilikuwa bustani ya bilioni ngapi ?
 
Sheria inasemaje kama akishinda kesi hawezi kufungua kesi ya kuchafuliwa na yeye asepe na trillion kazaaa?!
 
Ccm wanataka kumuua Mbowe kiuchumi,kisiasa na kimwili,walianza kwa kuvunja club Billcanas baadae Magufuli na watu wake hawakuridhika wakaenda kuharibu bustani yake ya mabilioni lkn,Mungu ni mwema wamekufa wao Mbowe bado yupo na soon wengine watakufa tena na kumuacha Mbowe akiwa hai na mwenye afya njema!
Mkuu huwa unaongea na Mungu?
 
Mbowe alisema wamepanga kumpa kesi isiyodhaminika mapema kabisa. Yani mchongo aliujua.
Na msimamo wake NI kuwa wakifikishwa mahakamani hataongea chochote wakitaka wamfunge. Sasa sijui wanasheria wanasumbuka Nini.

Wanachokifanya mahakamani NI kuhalalisha kushikiliwa mahabusu mwezi wa nne mfululizo bila dhamana na kwa maana nyingine amefungwa tayari sababu kesi hii haiishi leo Wala kesho na akiwa na roho ngumu asipopigia jamuhuri magoti atasota Rumande zaidi ya mwaka mzima.

Kwanini hakusimamia msimamo wa awali wa kutojitetea na kupokea watakaloamua kwasababu.
1. Tayari kaisibitishia Dunia kila alichokisema awali kuwa walipanga kumpa kesi isiyodhaminika ili ashindwe kufanya siasa

2. Kama kunauwezekano ashinikize kisiasa kesi yake isikilizwe na majaji huru na si Hawa au kesi za Ugaidi iende mahakama za kimataifa.

3 . Kwa huu mchezo wa mahakamani ata alishinda kesi Leo atakuwa amesota vya kutosha. Na atakuwa ameshatumikia kifungo Cha kisanii jela.
Kamwe Mbowe hawezi ipigia magoti serikali
 
Kwa kipindi chote Cha Raisi Mwinyi, Mkapa na Kikwete Sheria na mashitaka yasiyodhaminika Kama uhujumu uchumi, na hukumu za kunyonga hazikutekelezwa kabisa. Ziliepukwa Sana kwani zilikuwa NI dalili za udikteta na uvunjwaji wa haki za binadamu.
Mtu anatakiwa asidhaminike tu iwapo itathibitika kuwa kuwepo kwake nje NI tishio kwa usalama wake au wenzake. Lkn kwa mbowe NI tofauti.
 
Mbowe ni gaidi kanasa kiulaini na lazima atambue hilo
 
Back
Top Bottom