Ukurasa rasmi wa YouTube wa Ikulu umeondoa video ya hotuba ya Samia muda mfupi baada ya kuhutubia, hatua inayohusishwa na mkanganyiko wa takwimu za bei ya mafuta duniani alizozitoa wakati...
Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafue akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, ameiomba serikali kuuza sehemu ya...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuutarifu umma kuwa leo, tarehe 10 Aprili 2026, Makamu Mwenyekiti wa chama, Mheshimiwa John Heche, ameongoza jopo la viongozi wa chama katika...
Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach...
Hii ndio habari mpya kwa sasa, ambayo haipaswi kukupita
Mwakilishi huyo Bwana Chakwera amepigwa n.a. Bumbuwazi alipoambiwa kaburi la halaiki la Kunduchi kwa Kondo
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni lazma kama Taifa Tujijengee Heshima ,utaratibu ,nidhamu ,adabu ya maneno na kauli za kuzungumza Hadharani. Siyo mtu anajitokea zake huko anaanza kuropoka ropoka Bila...
Wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Aprili 8, 2026, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe kupitia chama cha CHAUMMA, Sigrada Mligo, amesema hotuba ya Waziri Mkuu "Ni hotuba ambayo...
Katibu mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ameyasema hayo katika hafla ya uzinduzi wa minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85...
sijaona machapisho yoyote ya Dr. kwenye eneo lake la ubobezi yaani Mikataba ya Kimataifa ya Biashara badala yake ana machapisho matatu (3) mawali akiwa ameshirikiana na wenzake na moja peke yake...
Kwa tamko la Rais Dornad Trump juzi Iran walitakiwa kupigwa kipigo Cha mbwa koko
Na mashambulizi yake alitangaza kuwa yataelekezwa kwenye miundo mbinu ya kuhifadhi mafuta ,vituo vya umeme nk
Na...
Spika wa Bunge, Mussa Zungu amewataka wabunge kuacha kutumia makaratasi wanapofanya shughuliza kibunge.
Amesema kitendo cha kutumia karatasi ni uchafuzi wa mazingira hivyo wabunge watumie mifumo...
Mbunge, Festo Sanga amesema kuwa ziara ya Waziri Mkuu inaonyesha huko chini kuna Ombwe la utumishi kwani watu wanasubiri Zoara ya Waziri Mkuu waweze kutatuliwa shida zao.
Ameeleza kuwa, watu...
Hamjambo wote!
1. MO29 ilikuwa ni mawingu. Ilionyesha uwezekano pasipo uwezekano.
2. Uliwahi kujiuliza kama MO29 ingefanikiwa walau kwa asilimia 50% nini kingetokea? Najua sio Kila MTU anaweza...
Hawa wanahusika na mipango mingi miovu ya kubagaza nchi hii na kubananga. Wanahusika pakubwa na uporaji na ununuzi wa maeneo ya Umma ambayo miaka ya nyuma walikataliwa kuuziwa.
Hawa mnajua...
Mwanaharakati Maria Sarungi Tsehai amewalipua Watanzania kwa kile alichokiita ni kushindwa kumtetea Tundu Lissu, kiongozi ambaye amejitoa mhanga kwa miongo kadhaa kusema ukweli bila woga. Maria...
Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29 imeeleza sababu kuu zilizopelekea kuongezewa muda wake wa kazi.
Sababu hizo ni pamoja na kuendelea kupokea ushahidi kutoka kwa makundi mbalimbali na watu...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Chande amekanusha uvumi wa kuwa Tume hiyo imeongezewa muda ili ripoti yao ichakachuliwe.
Jaji Chande...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Mohamed Chande Othman, amekanusha uvumi kuwa nyongeza ya muda wa Tume hiyo imelenga kuchakachua ripoti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.