Sahihi,Huwezi kuwa na Bunge huru ikiwa rais na mawaziri wake ni sehemu ya Bunge, na huwezi kuwa na Mahakama huru ikiwa majaji wa Mahakama ni wateule wa rais. Huu ni muundo nadhani wa Kiingereza ambao Serikali yao Kifalme yenye mihimili mitatu chini ya Ufalme huo.
Utawala wa kidemokrasia kwa Tanzania hakuna, ni nadharia tu, kiuhalisia tuna mfumo wa kidikteta au kifalme.Tanzania ni nchi huru inayofuata Utawala wa Kidemokrasia hatuwezi kuwa na rais sawa na Mfalme.
Je, ile Rasimu ya Katiba ya Warioba ingeweza kuleta suluhisho?Haya miye nakaa pembeni nawaachia mjadala..
Wewe ulishaamua kuwa chawa wa CCM, acha kutupotezea mudaHili ni swali kwa wahenga wa jukwaa hili la Siasa. Naomba pia ufafanuzi wake.
Ni Sura au Ibara gani ya Katiba ya JMT inayosema hivi: -
Serikali ina Mihimili mitatu.
1. Bunge -Parliament
2. Mahakama - Judicial
3. Serikali - Executive
Haya maneno sikutunga mie, yapo kwa maandishi sehemu nyingi, isitoshe mkuu wangu neno Serikali na Dola fasihi yake ile ile, ukitafsiri Serikali utaambiwa ni Dola na Ukitafsiri Dola utaambiwa ni Serikali. Labda ule mhimili wa Serikali ndio ungeitwa Utawala kwa maana ya utelelezaji wa Sheria.Sio Serikali ni Dola inaundwa na mihimili mitatu ambayo ni.
1. Serikali.
2. Bunge
3. Mahakama
Katika Sura kama hii nadhani wameweka vema isipokuwa pale kwenye kumpunguzia rais Madaraka sijui abakie na wizara chache za serikali kusimamia. Tukimpunfuzia mamlaka yake tutayapeleka wapi? Hii itatuvuruga na kupata marais wengine pembeni wenye mamlaka ya juu.Je, ile Rasimu ya Katiba ya Warioba ingeweza kuleta suluhisho?
Mkandara
Maadam mmesha nibatiza basi nakuwa Chawa kichwani mwao, wajikune vizuri vizuri halafu wajua Chawa huambikiza mpaka majirani.Wewe ulishaamua kuwa chawa wa CCM, acha kutupotezea muda
Lakini still inaonekana ni supporter wa hiki chama kinachokataa mabadiliko, I’m confused 🤔Please take your time to read this constitutional design vs our Constitution or of any other countries.
The United States government divides power through a dual system:
Separation of Powers among three co-equal federal branches, and Federalism, which divides sovereignty between the national government and individual states. This constitutional design prevents any single entity from monopolizing control and protects individual liberties.
1. The Three Branches (Separation of Powers)
The U.S. Constitution establishes three distinct branches, each with tailored responsibilities:
- Legislative Branch: Headed by Congress, which includes the House of Representatives and the Senate. Its primary power is to make laws, declare war, control taxing and spending, and approve or reject presidential appointments.
- Executive Branch: Headed by the President, and includes the Vice President and the Cabinet. Its primary power is to enforce the laws, command the armed forces, and conduct foreign policy.
- Judicial Branch: Composed of the Supreme Court and lower federal courts. Its primary power is to interpret the laws and the Constitution, resolving disputes and overturning unconstitutional legislation.
2. Checks and Balances
To ensure one branch does not dominate the others, the system integrates checks and balances. For example, the President can veto legislation passed by Congress, but Congress can override that veto with a two-thirds vote. The President appoints federal judges, but the Senate must confirm them. The Supreme Court can declare laws passed by Congress to be unconstitutional.
3. State and National Power (Federalism)
The division of powers also dictates how the national government and state governments interact:
- Federal Powers: The national government handles matters of national scale, such as national defense, coining money, and regulating interstate commerce.
- State Powers: Powers not granted to the federal government are reserved for the states. State governments manage regional concerns like education, public safety (police and fire departments), and intrastate commerce.
- Shared Powers: Both levels of government can concurrently exercise certain powers, such as collecting taxes and building roads.
Wee shabiki sio muumini wa Itikadi.i Wanasema kwa Mwana Yanga kumsifia Chama lazima uwe supporter wa Simba!Lakini still inaonekana ni supporter wa hiki chama kinachokataa mabadiliko, I’m confused 🤔
Uko AG haendi bungeni??Naona swali limekuwa gumu kujibika kwa sababu Katiba yetu haisemi maneno hayo isipokuwa Ibara ya 4(1-3) inasema Shughuli zote za Jamhuri ya Muungano zitatekelezwa na kudhibitiwa na mihimili hiyo kwa pande mbili za Muungano.
Hoja ya msingi hapa ni kujiuliza Serikali ambayo ina Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Inaongozwa na nani? Bila shaka jibu ni Rais wa Jamhuri, kisha ukienda kwanye Mhimili wa Serikali pia kiongozi wake ni rais.
Kwa hiyo, ile dhana ya kwamba Serikali ina mihimili mitatu inayojitawala ni dhana Potoshi kwa sababu neno Mihimili ni sawa na kusema MATAWI ya Serikali, na matawi haya hayapo huru kwa sababu yote yapo chini ya Mamlaka ya rais.
Huwezi kuwa na Bunge huru ikiwa rais na mawaziri wake ni sehemu ya Bunge, na huwezi kuwa na Mahakama huru ikiwa majaji wa Mahakama ni wateule wa rais. Huu ni muundo nadhani wa Kiingereza ambao Serikali yao Kifalme yenye mihimili mitatu chini ya Ufalme huo.
Tanzania ni nchi huru inayofuata misingi ya Utawala wa Kidemokrasia, hatuwezi kuwa na rais sawa na Mfalme. Hii ndio sababu ilonifanya niweke mjadala huu hapa kwenu kuujadili kwa kina kama kweli tunataka suluhisho la kudumu aidha kwa kuchukua muundo wa Marekani ambao Serikali kwao ni KATIBA ya nchi. Na wameipa Mamlaka kamili mihimili hii KUSIMAMIANA.
Bunge lao lina Wajumbe walochguliwa Ubunge na UMaseneta chini ya Uongozi wa Spika, mamlaka yake ni kutunga Sheria na kuisimamia Serikali. Hakuna mtumishi yeyote wa Serikali ndani ya Bunge lao.
Mhimili wa Serikali inaongozwa na rais ikiwajibika katika kutekeleza Sheria. Hakuna Mbunge yeyote ndani ya mhimili wa Serikali. Na Mahakama yao ikiongozwa na jaji mkuu mamlaka yake ni Kusimamia haki na kutafsiri Sheria za Bunge na Katiba. Hakuna mwakilishi wa Wananchi Bungeni wala mtumishi wa Serikali ndani yake. Ndio maama Mihimili yote hii ni HURU yenye Mamlaka kamili sawa (co-equal) hakuna alo juu ya mwenzako ili kudhibiti viongozi kulewa madaraka.
Haya miye nakaa pembeni nawaachia mjadala.. Samahani kama kuna makosa ya Kiuandishi
Asante kurejea kihenga,Hili ni swali kwa wahenga wa jukwaa hili la Siasa. Naomba pia ufafanuzi wake.
Hili jambo tuliisha lijadili sana humu Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of "Separation of Powers" Nothing, Just a Myth!Ni Sura au Ibara gani ya Katiba ya JMT inayosema hivi: -
Serikali ina Mihimili mitatu.
1. Bunge -Parliament
2. Mahakama - Judicial
3. Serikali - Executive