Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Machi 25, 2026 DODOMA, TANZANIA – Katika kinachoweza kuonekana kuwa ni ushindi mkubwa kwa watetezi wa uhuru wa kidijitali barani Afrika, Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali mfululizo wa...
27 Reactions
65 Replies
2K Views
Zanzibar kwa kutumia mamlaka yao ya ndani imekuwa ikisajili meli za walanguzi wa madawa ya kulevya na kuwaruhusu kutumia bendera ya Tanzania. Hali hii imeiweka Tanzania katika hali mbaya sana...
4 Reactions
12 Replies
347 Views
Wahusika toeni taarifa siku ya kutoa ripoti. Kama siku zimeongezwa tena semeni!
2 Reactions
27 Replies
605 Views
https://youtu.be/_11lEn0CQlQ?si=t7780QzdGXjNWO44
1 Reactions
5 Replies
193 Views
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!! Kazi na Utu...! Kwa fahari kubwa sana na kwa tabasamu lisilo kifani na nikiwa kama mdau wa muda mrefu hapa JF mwenye kuipambania kero ya kutokuwepo kwa bima ya...
3 Reactions
10 Replies
331 Views
Sidhani kama inasaidia kama Mteuzi hatakiri ukweli wa 29.10.2025 kuwa yanahitaji uwajibikaji. Ukweli na uwajibikaji, then unawateua hao kuonesha good gesture. Lazima ukweli ujulikane nani alitoa...
2 Reactions
1 Replies
233 Views
Hili ni tatizo kubwa sana kwa watu wa bara la Africa hasa hawa viongozi wa vyama vya upinzani mfano hawa CHADEMA tunaona viongozi karibia wote wamekabidhi familia zao zote kwa mabeberu, huku ni...
7 Reactions
52 Replies
762 Views
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA RAIS WA RWANDA, PAUL KAGAME Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Rais...
1 Reactions
1 Replies
284 Views
Bado tunaendelea kukumbatia mambo ambayo yalisababisha watu tarehe 29 kuandamana kama ufisadi wa kutisha,uhuni wa kuua na kuteka watu,uchawa,uongozi mbovu,rushwa kila eneo,uchumi mmbovu,dharau za...
1 Reactions
2 Replies
131 Views
Jambo rafiki! Moja kwa moja kwenye mada. Hii ndiyo orodha yangu ya Maraisi bora kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho tangu tupate uhuru. NB: Mimi ni mtoto wa 90's, kwahiyo wengine nimefanya utafiti...
14 Reactions
68 Replies
6K Views
HUU SIO MKUTANO/KIKAK CHA CCM Hawa ni waalimu wa Shule za Msingi na Sekondari kutoka Mikoa mbalimbali ya Tanzania. Ni wale waalimu wafia Chama( CCM DAMU), wengi wao walisimamia uchafuzi wa...
17 Reactions
58 Replies
1K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mtwara, Komredi Joseph Mkuyu Peneza, ameandika historia kwa kufanikisha harusi ya binti yake, iliyofanyika jijini Dar es...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Hiyo heading imemaliza kila kitu. Kwahiyo, kama wabaya wake wanafikiri wanamkoa, wajue tu wanajidanganya na zaid wanaingia katika historia kama ile ya Makaburu waliomfunga Mandela jela kwa...
7 Reactions
13 Replies
150 Views
Siku ya Kimataifa ya Wanasiasa Duniani kuanza kuadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Juni siku ya kuzaliwa muasiasi wa "POLITICIANS DAY(International Political Day).
2 Reactions
12 Replies
173 Views
Wakuu nina maswali kuhusu Bima ya Afya na ningeomba haya maswali yajibiwe na wahusika. Swali la kwanza: Kwanini mgonjwa akitibiwa anatakiwa kukaa Wiki 2 au Mwezi ndio aende kutibiwa tena? Yaan...
1 Reactions
2 Replies
152 Views
Wakuu, Katika vifo vya viongozi vilivyotokea hivi karibuni comment sections mtandaoni zilikuwa zimesheheni furaha ya Wananchi huku wakishikuru kwa 'kidogo' walichopewa. Hii imekuwa tofauti kwa...
11 Reactions
26 Replies
575 Views
  • Redirect
Heri ya Sikukuu ya Pasaka Ninaungana na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuwatakia Watanzania wote Pasaka njema yenye furaha na baraka tele...
0 Reactions
Replies
Views
Salamu za Heri ya Pasaka kutoka kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
2 Reactions
7 Replies
293 Views
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo akizungumza Bungeni, Aprili 2, 2026, alipokuwa akichangia hoja Bungeni.
2 Reactions
13 Replies
471 Views
Back
Top Bottom