Ndugu zangu watanzania tupiganie katiba mpya ili iwe ndiyo nira na ngamia ya kuwadhibiti viongozi wetu wa kisiasa. Hasa rais ambaye madaraka yake kwa katiba yetu ya sasa yamevuka mipaka ya...
Friends and Enemies,
Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen..
Katika maisha epuka sana...
Kumekuwepo na mjadala mkali juu ya kutaka kujua watanzania tuko awamu ya sita au bado tuko awamu ya tano?
Mtanzania mwenzetu Ndugu Polepole ametanabaisha kwamba tuko awmu ya tano(5) bado...
Huyu,ni ushauri wa bure kwa mama sophia simba,sitaki anilipe hata shilingi Moja,mama yetu sophia simba andika barua kwa msajili wa vyama vya siasa akusaidie urudi kwenye nafasi yako uwwt kama...
Kutokana na udhaifu katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato, kuna uwezekano mkubwa wa Serikali kupoteza TZS 265.85 bilioni kutokana na vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu...
Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono.
Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania...
Wafuatao nawaomba wanipe majibu ya swali langu hapo juu baada ya maelezo yafuatayo;
Ndugu zangu, Watanzania, bila shaka kila aliye Mtanzania na anaishi hapa Nchini anajua fika hali ngumu...
Hii mechi haikuwa ya Timu ya Taifa, ilikuwa ni mechi ya vilabu vyetu vya ndani tu, tena wala si vilabu vya Chama cha Mapinduzi , ni vilabu vya wananchi kutoka vyama vyote kabisa .
Huu ushamba wa...
Mh Lissu katika pitapita yake kasema atafuta vitambulisho vya machinga. Hapa amechemka mwambieni Bora aseme ataboresha usimamizi.
Hivi vitambulisho vimewasaifia kuondokana na misako ya maofisa wa...
Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara,James Ole Milya leo ameonekana kivutio katika michuano ya wabunge wa Afrika Mashariki inayorindima katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini...
Kuelekea hukumu ya shauri dogo linalomhusu Ling'wenya 14 Dec ukimya unaendelea kuvunjwa:
1. Kumbe mama Samia naye yamewahi kumfika ya kubambikiwa kesi na hata kutendewa ndivyo sivyo za wazi...
Ni jambo jembo na jambo la wakati pale unaposikia viongozi wa CCM wakijipongeza na kusherekea CcM kurudi Kwa wenyewe( Kwa maneno mengine CCM Ina wenyewe). Ni jambo la msingi sana na utokea pale...
Hii imetokea leo mjini Dar es salaam katika hafla ya kuwakabidhi kadi za Kidigitali wanachama wa Kanda ya Pwani .
Mziki wote huu hapa , Jamaa ni mkali sana ! anaweza kutoa Single ikatikisa nchi
Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera.
1. Ni lazima tuakikishe kwamba...
Kweli wahenga wapewe heshima zao, maneno yao huwa hayaendi na maji wala upepo. Wakiongea kitu huwa wameona mbali na huwa inatokea kweli.
Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa...
Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa CCM 75% Kama Polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho.
Kwa...
Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama.
Matabaka ni mbinu moja ya...