Huku madongo kuinuka tushazoea hata hatulalamiki. Kuna wakati inabidi tutambae tu.Sasa hapa ndio jijini Daslam! Je huko Mbwinde?
Maeneo mengi Dar mvua ikonyesha barabara zinakua mbovu sana ila kukiwa na viongozi wazuri ni chap tu wanarekebisha na hio ni kwa wale wanaoishi huko huko yaan barabara ndani ya muda mfupi tu inawekwa sawa sababu na yeye anapita hapohapo kwa hio hio kero hata yeye lazima imuume tu na arekebishe chap ila akiwa anakaa huko wala hajui mabalaa mnayoyapitia mtasubiria sanaSasa hapa ndio jijini Daslam! Je huko Mbwinde?