John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

Katika bunge la leo .. Mheshimiwa john mnyika amesema kuwa rais jakaya mrisho kikwete kuwa ni dhaifu.. Na ccm na wabunge wake ni wazembe..kwa utendaji kazi wao.. Mi binafsi namuunga mkono asilimia mia na hamsini... Nin mtazamo wako..? Na tathmin yako? Bunge lenu kwa kuwa ni FAKE.. LIMEAMUA KUMTOA NJE MHESHIMIWA MNYIKA KWEL N HAKI?
 
Ndugai jamani mbona huyu Nyangwine ameanza na kutukana!! Wabunge wameacha hoja na kulifanya bunge jukwaa la siasa- inasikitisha
 
Ahahahaha. Hawataki Kuguswa hao

WANAOONGEA PUMBA WANAACHWA BUNGENI
WANAMCHEKA BALAA NYANGWINE
 
Back
Top Bottom