Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema ana matumaini makubwa na Tume ya Jaji Chande inayochunguza Matukio ya Vurugu wakati na NA baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. CHUNGUZ Imani na...
2 Reactions
12 Replies
270 Views
Dkt. Ryoba anasema kuwa Gen.Z Walichagua amani ndio maana hawakutika Desemba 9. Siyo kwamba waliogopa polisi. Anaogeza kuwa Waliona matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa njia nyingine, hivyo...
2 Reactions
17 Replies
391 Views
  • Featured
Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya...
50 Reactions
135 Replies
3K Views
Samia anaendelea kuwa sio tuu Mwalimu wa Africa Bali mfano Bora Kwa viongozi wengine Duniani Kwa kuanzisha bima ya Afya Kwa wote ambapo na Nchi ya Mexico imeiga.Pia soma Ndani ya siku 100 SSH...
3 Reactions
24 Replies
378 Views
Mwanasiasa Sylvestry Francis Koka ambaye ana zaidi ya Miaka 15 Bungeni, hakuwepo Bungeni muda mrefu mara baada ya kushinda katika awamu yake ya tatu kwenye Uchaguzi uliopita. Pamoja na hivyo...
2 Reactions
5 Replies
305 Views
Hii ndio kauli yake baada ya mashambulizi kutoka pande zote baada ya ripoti ya CAG
29 Reactions
224 Replies
24K Views
  • Redirect
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa kuwa mwenyekiti wake, Tundu Lissu anayeshikiliwa katika Gereza la Ukonga, amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakili wa Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
Replies
Views
Kuna watu wanavizia kila kitu anachoongea Samia kama Rais, Nchimbi kama makamu wa Rais na Mwigulu kama Waziri Mkuu wa Tanzania na kukigeuza ili ionekane kana kwamba Samia, Nchimbi na Mwigulu...
3 Reactions
29 Replies
408 Views
Tonight, I had the pleasure of having dinner with the legendary Larry Madowo, my Kenyan brother. We covered a wide range of topics, from Tanzania’s October 29th massacre and where the country...
9 Reactions
37 Replies
694 Views
Mwanasheria mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Dkt. Rugemeleza Nshala amesema kuwa Dkt. Nshala inarudishwa kwa Jaji mwingine ili aamue kama kesi hiyo ililetwa ndani ya muda au nje ya...
6 Reactions
17 Replies
613 Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imeingia katika hatua mpya ya uzalishaji wa umeme baada ya kufanikisha mradi mkubwa wa bwawa la kuzalisha umeme la Mwalimu Nyerere la...
1 Reactions
7 Replies
233 Views
Kufuatia kufunguliwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mahakama April 15, 2026, Katibu wa Halmashauri Kuu ya NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Taifa wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema...
0 Reactions
7 Replies
256 Views
Mjadala wa wazi kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 https://www.youtube.com/live/Cu8apPVErt8?si=eMCTRMUE2G_l_bgx
0 Reactions
1 Replies
130 Views
Tuzo hiyo imetolewa leo, Aprili 16, 2026, na Chama cha Wataalamu wa Upasuaji wa Ubongo na Uti wa Mgongo Tanzania (Tanzania Neurosurgical Society) wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa...
1 Reactions
18 Replies
299 Views
  • Redirect
TUNDU LISSU AKUTANA NA CHAKWERA GEREZANI Nimetoka Ukonga kumtembelea Tundu Lissu. Tumepata nafasi ya kujadili kwa kina mwenendo wa kesi zote zinazoendelea na zile zilizo pending. Amenieleza pia...
0 Reactions
Replies
Views
Ripoti mpya ya Freedom House ya 2025 yaziorodhesha kwa mara ya kwanza Tanzania na Kenya miongoni mwa nchi zinazotuhumiwa kuwakandamiza raia wao nje ya mipaka. Ripoti hiyo yaeleza kuwa serikali...
0 Reactions
3 Replies
155 Views
Katika mahojiano yake na Wasafi FM, John Heche alitoa mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa, kuhama vyama, na msimamo wa Chadema kwa waliohama CHADEMA na kwenda Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)...
5 Reactions
13 Replies
386 Views
Hawa viongozi wa Africa mimi binafsi nikiwatathimini na kuwatafakari utafikiri hawana Elimu na Hekima. Tuanze na hili Mseven kupitia Uganda amegundua mafuta ila mpaka leo plan yake kuyasafirisha...
2 Reactions
5 Replies
169 Views
Back
Top Bottom