Sababu ya Watanzania kunyimwa Visa ya Marekani

Sababu ya Watanzania kunyimwa Visa ya Marekani

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,113
Reaction score
2,458
Moja ya sababu kwanini Tanzania ilipigwa ban ya visa in US, ni tuhuma kwamba watanzania wanatumia sana kodi za serikali ya US kwa kuomba benefits mbali mbali badala ya kufanya kazi.

Lakini ukweli ni kwamba, kuna wakimbizi wengi walipewa passport za Tanzania kwa njia ya dili Afu wakifika huku wanajiita watanzania afu wanakua mizigo ya walipa kodi wa US.

Idara ya uhamiaji wawe serious sana na rushwa inayoendelea. Inawanyima fursa watanzania wa kweli ambao ni watu wa kazi. Wenzetu wakenya hawana hii kashfa.
 
Uhamiaji Tanzania wapo tu until la kuwagusa kikitokea ndio wafanye kazi
 
Back
Top Bottom