Tanzania tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,327
8,243
Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.

Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.

2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.

3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali kabisa.

4. Thamani ya fedha. Kenya wanatuzidi mara 20.

5. Biashara. Nako hivyohivyo.

Tunachowazidi wenzetu ni milima mirefu ya Mungu, maziwa yaliyowekwa na Mungu, wanyama na mbuga nyingi ambazo ziliwekwa na Mungu, na kuwa na eneo kubwa la ardhi.
 
unachokizungumza kinaweza kuwa kina ukweli ukifikiria kiundani :mfano siku tofuti tofauti miaka tofauti mji mdogo wa tuduma kumekuwa ukitokea moto ukichoma mali na maduka ya watu lakini cha kushangaza jirani upande wa pili nchi ya Zambia Nakonde ndio wanakuja na vifaa vyao wanauzima

sasa unajiuiza maswali hivi kwanini miaka yote sector ambayo inahusika na kukabiliana na matukio kama haya inashindwa kujiandaa kimadhubuti mpaka kusubiri msaada kutoka kwa jirani .kwa hiyo huu ni mmjoja kati ya mingi ,something somewhere is wrong with us we need to change.
 
Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.

Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.

2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.

3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali kabisa.

4. Thamani ya fedha. Kenya wanatuzidi mara 20.

5. Biashara. Nako hivyohivyo.

Tunachowazidi wenzetu ni milima mirefu ya Mungu, maziwa yaliyowekwa na Mungu, wanyama na mbuga nyingi ambazo ziliwekwa na Mungu, na kuwa na eneo kubwa la ardhi.
Watu kama hata kujengwa kwa ukanda wa viwanda Bagamoyo hawataki,unategemea nini hapo?.
 
unachokizungumza kinaweza kuwa kina ukweli ukifikiria kiundani :mfano siku tofuti tofauti miaka tofauti mji mdogo wa tuduma kumekuwa ukitokea moto ukichoma mali na maduka ya watu lakini cha kushangaza jirani upande wa pili nchi ya Zambia Nakonde ndio wanakuja na vifaa vyao wanauzima sasa unajiuiza maswali hivi kwanini miaka yote sector ambayo inahusika na kukabiliana na matukio kama haya inashindwa kujiandaa kimadhubuti mpaka kusubiri msaada kutoka kwa jirani .kwa hiyo huu ni mmjoja kati ya mingi ,something somewhere is wrong with us we need to change.
Shida ni kuwapa madaraka wapumbavu na jamaa zao huku tukitegemea matokeo effective!

Ubinafsi nao ni janga kubwa mno kwa sikuhizi mtu akishashiba yeye na familia yake inatosha nyie wengine mtajijua hata mkifa njaa😅..Hii ndio akili ambayo inamfanya mtu akwapue billion 60 za kujengea Hospitali ili watanzania wenzie wakose matibabu bila kujali kwa kuwa yeye akiumwa anatibiwa Nairobi!
 
unachokizungumza kinaweza kuwa kina ukweli ukifikiria kiundani :mfano siku tofuti tofauti miaka tofauti mji mdogo wa tuduma kumekuwa ukitokea moto ukichoma mali na maduka ya watu lakini cha kushangaza jirani upande wa pili nchi ya Zambia Nakonde ndio wanakuja na vifaa vyao wanauzima sasa unajiuiza maswali hivi kwanini miaka yote sector ambayo inahusika na kukabiliana na matukio kama haya inashindwa kujiandaa kimadhubuti mpaka kusubiri msaada kutoka kwa jirani .kwa hiyo huu ni mmjoja kati ya mingi ,something somewhere is wrong with us we need to change.
Huu mfano mkuu mimi mwenyewe nimeshuhudia,tanker inaungua moto upande wetu eti fire brigade inatokea Zambia kuja kuzima moto upande wetu,ndio maana nikipewa Urais wa 24hrs idara ya zimamoto na uokoaji nitairudisha kwenye serikali za mitaa sio kuwa chini ya jeshi la polisi(hawa ni useless kabisa,hawawezi hata to take simple statement au kutunza log books zao).
 
unachokizungumza kinaweza kuwa kina ukweli ukifikiria kiundani :mfano siku tofuti tofauti miaka tofauti mji mdogo wa tuduma kumekuwa ukitokea moto ukichoma mali na maduka ya watu lakini cha kushangaza jirani upande wa pili nchi ya Zambia Nakonde ndio wanakuja na vifaa vyao wanauzima sasa unajiuiza maswali hivi kwanini miaka yote sector ambayo inahusika na kukabiliana na matukio kama haya inashindwa kujiandaa kimadhubuti mpaka kusubiri msaada kutoka kwa jirani .kwa hiyo huu ni mmjoja kati ya mingi ,something somewhere is wrong with us we need to change.
Hivi sasa jeshi la zimamoto limeimarishwa sana kwa kupewa bunduki.
 
toeni CCM.

Kenya katoa moi and chama cha KANU and we have made significant economic and political progress.

mna ngojea nini mnadhani CCM wanampango was kutoka serekalini? CCM has run out of ideas and they're too comfortable/lazy to do anything.

take a risk, change the party and these career politicians that have been in government for decades and try something new/different

change is hard and destabalising! but if you don't take a risk by switching things up then you will not make progress
 
Tanzania tupo underperformance sana tunazidiwa kila kitu na majirani zetu wanaotuzunguka.

Elimu: Kwenye Elimu tunazidiwa na Kenya na Uganda karibia kila kitu.

2. Kwenye viwanda: Tunazidiwa na Zambia, Uganda, Kenya hadi Malawi.

3. Miradi ya Mikubwa ya Taifa ya viwanda: Huko ndio tupo chali kabisa.

4. Thamani ya fedha. Kenya wanatuzidi mara 20.

5. Biashara. Nako hivyohivyo.

Tunachowazidi wenzetu ni milima mirefu ya Mungu, maziwa yaliyowekwa na Mungu, wanyama na mbuga nyingi ambazo ziliwekwa na Mungu, na kuwa na eneo kubwa la ardhi.
Malawi hii hii mkuu au?
 
Viongozi wako wenyewe nothing
 
Back
Top Bottom