Inasemekana wakubwa huko TPA wamejipanga kuruhusu kontena nyingi zielekezwe kwenye bandari kavu ICDs kama kabla ya utawala wa Magufuli

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu Bandarini kutakuwa kumejaa.

Sasa inasemekana hali imerejea kama zamani na tayari wenye ICDs wameanza kutamba tena!

Ifahamike wizi wa makontena ni rahisi sana kama mzigo umefikia ICDs.
 
Unaongea usilolijua.
 
Kumekucha Salama
Tanzania Ni Tajiri

Majizi Nitalala Nayo Mbele
Kwenye Utawala Wangu Hakuna Kuchakata
 
Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu Bandarini kutakuwa kumejaa.

Sasa inasemekana hali imerejea kama zamani na tayari wenye ICDs wameanza kutamba tena!

Ifahamike wizi wa makontena ni rahisi sana kama mzigo umefikia ICDs.
Hilo linaeleweka mbona. Ni kama giesm amerudi kwa kasi sana pale bandari ya salama

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
😁😁😁
1783460_IMG_20180609_065431.jpg
1638006971_1638006971-picsay.jpg
 
Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu Bandarini kutakuwa kumejaa.

Sasa inasemekana hali imerejea kama zamani na tayari wenye ICDs wameanza kutamba tena!

Ifahamike wizi wa makontena ni rahisi sana kama mzigo umefikia ICDs.
Kinachofanyika kwenye ICDs sio wizi wa ma-container ni gharama kubwa kwa wafanya biashara wanalipa TPA na ICDs badala ya kumlipa TPA tu ni mzigo mkubwa kwa wafanya biashara chaji za ICDs ziko juu sana
 
Wakuu utaratibu wa kuanzisha kampuni hauna longolongo?...natarajia kujaza form BRELA nianze kufanya logistics tuinue uchumi wa nchi.
 
Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu Bandarini kutakuwa kumejaa.

Sasa inasemekana hali imerejea kama zamani na tayari wenye ICDs wameanza kutamba tena!

Ifahamike wizi wa makontena ni rahisi sana kama mzigo umefikia ICDs.
Wazalendo wenzangu huu ndio muda wa kununua vyombo vya moto kwa bei cheee

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu Bandarini kutakuwa kumejaa.
Nyie watu wa Jiwe ni weupe hadi mnaboa!! Kwani hizo ICD zilifungwa lini?! Au bado upo Kolomije na mambo ya mjini huyajui?! Na ndo maana wala hufahamu kwamba container terminal inaendeshwa na TICTS!! Na ndo maana wala hufahamu kwamba ICDs kwa sasa haziepukiki unless mizigo ipungue sana bandarini.
 
Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu Bandarini kutakuwa kumejaa.

Sasa inasemekana hali imerejea kama zamani na tayari wenye ICDs wameanza kutamba tena!

Ifahamike wizi wa makontena ni rahisi sana kama mzigo umefikia ICDs.
Jpm alikuwa fisadi
 
Kinachofanyika kwenye ICDs sio wizi wa ma-container ni gharama kubwa kwa wafanya biashara wanalipa TPA na ICDs badala ya kumlipa TPA tu ni mzigo mkubwa kwa wafanya biashara chaji za ICDs ziko juu sana
Wanalia nini mbona kwenye malipo ya Tanesco tunalipa eura,vat,kodi ya nyumba,kutuma pesa unalipa tozo ya kampuni ya mtandao,unalipa tozo ya serikali.kwenye petroli nako usiseme.Si mlipe tu mbona sawa tu,kama ni kutolewa basi na hayo matozo hapo juu nayo yatoke twende droo.Tutaona kwa kuwa wao ni wenye biashara napesa nyingi tusikilizie.
 
Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu Bandarini kutakuwa kumejaa.

Sasa inasemekana hali imerejea kama zamani na tayari wenye ICDs wameanza kutamba tena!

Ifahamike wizi wa makontena ni rahisi sana kama mzigo umefikia ICDs.
Mtu yeyote anayeamini kuwa Magufuli alikuwa anauchukia ufisadi kwa dhati ninamdharau sana. Yeye alikuwa anachukia watu wenye fedha zao bila kujua wamepataje.

Hizi ICD ni logistically accepted worldwide kama namna ya ku decongest Port operations na kuongeza efficiency. Ila yeye alidanganywa na akina Renatus Mkinga akasema ni wizi
 
Back
Top Bottom