Hii barabara inakero kubwa na sugu sana ambayo ni foleni isiyoelezeka.
Na hii inatokana na udogo wa barabara kwa sababu inapitia magari mengi sana ikiwemo magari makubwa ya mizigo..
Jumamosi...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza uchaguzi mdogo wa ubunge wa Ismani, mkoani Iringa na madiwani 12 katika kata mbalimbali utafanyika Juni 1, 2026.
Uchaguzi wa mbunge katika jimbo...
Hali ya sintofahamu imezidi kushika kasi ndani ya chadema, huku kile kinachoelezwa kama “radhi ya Mbowe” kikitajwa kuwa chanzo kipya cha misuguano, mvutano na mpasuko unaoanza kujitokeza waziwazi...
Aibu kubwa kwa CCM kwa kuwa na Mwenezi wa taifa ambae ana hoja zisizo na masshiko kama hizi.
Hajui hata Tanu ilipokuwa chama cha ukombozi kilichangiwa na wananchi?
CCM inachangiwa na...
Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za...
Akiongelea sakata la Lissu kuendelea kushikiliwa gerezani, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA katumia lugha kali kueleza udhaifu wa Bi. Mkubwa huku akirejea na matamshi yake ya jana kuhusu bei ya mafuta...
Mbunge wa Kalambo, Edfonce Kanoni ameshauri fedha Tsh. Bilioni 200 za vijana zipelekwe wizara yao
"Hizi fedha bilioni 200 zimegawika katika wizara za kisekta, ninashauri Serikali fedha hizi...
Akifanya mahojiano na The Chanzo Aprili 16, 2026, Waziri wa nchi ofisi ya Rais- Mipango na uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo
"Tunao wajibu wa kuendelea kuelimisha watu wetu kwamba hii ni nchi yao...
Baada ya uteuzi wake mnamo November 13th 2025, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba alianza rasmi majukumu ya kusimamia shughuli za Serikali na utekelezaji wa sera na mipango ya maendeleo huku...
Hii ni ajabu. Kenya wametoa wapi nyambizi?
Kama wana Nyambizi, basi Tanzania tujitafakari.. Samia acha kupamba na CHADEMA. kama una uwezo ondoa njaa Nchini Tanzania
Mbunge wa Viti Maalum (Vijana), Zainab Abdallah, ameshauri kufanyika kwa mabadiliko ya kimfumo katika usimamizi wa maafisa vijana nchini ili kuleta uwajibikaji wenye tija na kasi inayofanana na...
Mbunge wa Jimbo la Ilemela, Kafiti William Kafiti, ametoa wito kwa Serikali kuongeza msisitizo katika sekta ya kilimo kupitia programu ya Building a Better Tomorrow (BBT) kama suluhisho la kudumu...
Akizungumza wakati wa kuwasilisha matokeo ya utafiti huo, Afisa Utafiti wa Legal and Human Rights Centre (LHRC), Fundikira Wazambi, amesema wanaume wameongoza kwa kuathirika na ukiukwaji wa haki...
Daily na waambia hapa Muda ni mwalimu mzuri sana mpaka tunafika 2030 Mungu atuweke ndo watu wataanza kushangaa kwamba pamoja na baadhi ya CCM wenye misimamo mikali huwa hata Chama kiteteleke vipi...