Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAZIRI MKUU ATIMIZA AHADI YA KUMPATIA KITIMWENDO HELENA JOSEPH Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo (Aprili 20, 2026) amemkabidhi kitimwendo Helena Joseph Mwandu (mwenye mahitaji maalum)...
0 Reactions
1 Replies
115 Views
Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema Chama hicho kinaendelea kushikilia msimamo wake thabiti kuhusu masuala ya haki na uwajibikaji kufuatia matukio...
0 Reactions
2 Replies
169 Views
Sijawahi kusikia watz waliochukua uraia wa Sauth Afrika, Korea Kusini, Japan, China wakilalamika na wakiandama iki watambulike. Wengi wanaojitambulisha kama Dispora ni kutoka nchi za Magharibi...
4 Reactions
7 Replies
186 Views
Project Chaumma haikufanikiwa na haitafanikiwa kwasababu moja tu imejaa watu ambao hawaja jenga imani kwa Watanzania wa kawaida kuwa ni wazalendo. Hamuwezi kushindana na watu ambao hawana kashfa...
5 Reactions
12 Replies
791 Views
Jina la Daladala kwa mabasi ya safari za mjini (Town trip) limeanza wakati nauli ikiwa sh.5 tu. Leo tunaongelea nauli ya tshs.1000 kwa route ndefu hivyo tunaomba Mh Rais atusaidie na Sisi magari...
0 Reactions
1 Replies
118 Views
CCM sasa hivi ni kama bubu. Kuna matatizo makubwa ya kijamii, chenyewe kimya kama bubu. Watu wameuwawa wakati wa uchaguzi. CCM haijatoa tamko rasmi. Sasa hivi maji hakuna sehemu nyingi nchini...
4 Reactions
17 Replies
435 Views
Ushuru wa Crown tu unamshinda kulipia mtu aliewahi kua mbunge na badala yake anapiga mayowe na makelele mitandaoni? Kuna anachoweza sasa kama kiasi kidogo tu kinamshinda kulipa? Asijifiche wala...
2 Reactions
6 Replies
169 Views
"Ukweli ni Kuwa dereva wa Daladala anaweza kusimama na kukupakia mahali ambapo hakuna kituo cha Daladala. Lakini dereva huyo huyo atakataa kukushusha mahali ambapo hamna kituo cha Daladala. Hii...
10 Reactions
16 Replies
471 Views
Kuna vitu unthinkable! Kwamba Samia, TISS and the like wamempigia simu or whatever by any means of communication Jaji Mkuu Masaju kuwa simamisha hiyo kesi ya Lisu mpaka maagizo mengine yatoke? Na...
6 Reactions
16 Replies
533 Views
Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga, amesema; "Mtu akiugusa Muungano mbele yangu, ni sawa na kunishika bega wakati wa 'tafaruku' ile! Mheshimiwa Mwenyekiti, mtu akigusa Muungano kwangu atakutana na...
1 Reactions
6 Replies
160 Views
Mbunge wa Katavi, Thomas Maganga, amechangia hoja ya bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), leo Aprili 21, 2026, ambapo ameeleza changamoto zinazokwamisha...
1 Reactions
1 Replies
177 Views
Kuna mahala nimesoma unalalamika kuwa kuna watu wanawachonganisha wana usalama na raia. Hivi ni kweli haujui yaliyotokea Oktoba 29 ni kovu ambalo halitafutika milelele? Vipi kuhusu wanaotekwa...
2 Reactions
5 Replies
200 Views
Alphonce Muyinga akizungumza leo Aprili 21, 2026 aliposhiriki Kongamano la Kitaifa la Mama Lishe na Baba Lishe Tanzania katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano JNICC, amesema kuwa, “Heche ni kama...
3 Reactions
25 Replies
447 Views
Wakuu, Akizungumza jijini Dar es Salaam, Afisa Utafiti wa LHRC, Fundikila Wazambi wakati anawasilisha ripoti ya mwaka amesema kati ya mwaka 2021 hadi 2025, kituo hicho kimekusanya na...
2 Reactions
5 Replies
234 Views
Akizungumza Dar es Salaam jana, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, Serikali imeahirisha utoaji wa mkopo wa Shilingi Bilioni 20 uliokusudiwa kwa vijana wanaojishughulisha...
3 Reactions
31 Replies
799 Views
  • Featured
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema serikali inaendelea na utafiti wa kuanzisha Benki ya Vijana itakayolenga kutoa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji ya...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza 1. Lipo kundi limeipinga tume ya Jaji Chande tangu kuundwa kwake. Sababu yao kuu ni muundo wake na jinsi ilivyopatikana. Hawa wana haki hata ya kukataa matokeo...
6 Reactions
17 Replies
681 Views
KAMA HAYAKUWA NA MAANA, KWANINI YANATUMIKA NA KUSHANGILIWA NA KILA UPANDE!? HATA KUPIGA PICHA ZA KUMBUKUMBU! Leo sikutaka kuandika chochote lakini hawa rafiki zangu waliponiomba niwapige picha...
1 Reactions
9 Replies
295 Views
  • Redirect
Kuna watu hasa walio organize yake maandamano haramu ya Oktoba 29 wanailaumu tume kuchelewesha majibu. Msilolijua ni kwamba mnailaumu tume kuchelewesha haki zenu za kupelekwa jela. Niko pale...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom