CHAUMMA iliishia wapi? Eva Shayo ana majibu

CHAUMMA iliishia wapi? Eva Shayo ana majibu

CCM ni mashetani, Salum Mwalimu yuko wapi?
EVA Shayo anatutahadhalisha na CCM

View attachment 3575697
Screenshot_20260125-000726~2.png
 
Not all the time they are not reasonable
Sijakuelewa. Siku zote haziko reasonable. Tuchukue conspiracy theory ya kuwa Chaumma iliahidiwa viti vya ubunge na CCM. Hakuna hata mmoja amewahi kutoa ushahidi wa hizo ahadi. Mimi binafsi siamini watu kama Catherine Ruge, Salome Kitwanga, n.k. wanaweza kurubuniwa kirahisi na CCM kwa ahadi ya ubunge. Hawa ni wahasimu wakubwa wa CCM na wanawajua kuwa hawaaminiki. Hawa walitoka Chadema kwa sababu hawakukubaliana na strategy ya uongozi na kuona kama wanatengwa na wenzao. Wao lengo lao lilikuwa kujiweka sawa kwa 2030. Kampeni yao iliwapa nafasi ya kujitambukisha upya kwa wapiga kura na kupata ruzuku itakayowasaidia 2030. Ukimuondoa Ruge kidogo hawa sio watu wa mitandao. Sitashangaa kama wamejichimbia wakijitayarisha kwa ajili ya 2030. Kwa vile chama chao sio kikubwa kama Chadema au ACT Wazalendo wanatakiwa kuwa strategic zaidi.

Amandla...
 
Sijakuelewa. Siku zote haziko reasonable. Tuchukue conspiracy theory ya kuwa Chaumma iliahidiwa viti vya ubunge na CCM. Hakuna hata mmoja amewahi kutoa ushahidi wa hizo ahadi. Mimi binafsi siamini watu kama Catherine Ruge, Salome Kitwanga, n.k. wanaweza kurubuniwa kirahisi na CCM kwa ahadi ya ubunge. Hawa ni wahasimu wakubwa wa CCM na wanawajua kuwa hawaaminiki. Hawa walitoka Chadema kwa sababu hawakukubaliana na strategy ya uongozi na kuona kama wanatengwa na wenzao. Wao lengo lao lilikuwa kujiweka sawa kwa 2030. Kampeni yao iliwapa nafasi ya kujitambukisha upya kwa wapiga kura na kupata ruzuku itakayowasaidia 2030. Ukimuondoa Ruge kidogo hawa sio watu wa mitandao. Sitashangaa kama wamejichimbia wakijitayarisha 2030. Kwa vile chama chao sio kikubwa kama Chadema au ACT Wazalendo wanakiwa kuwa strategic zaidi.

Amandla...
😁😁😁😁Pole sana najua inauma
 
Hawa walitumiwa kama toilet paper, CCM washapangusa sasa ni kuwa flush chooni sababu ni uchafu.
Hao ndiyo CCM, yaani ukiwa mwanasiasa njaa basi watakupangusa kwenye nyeti zao kila wakikuhitaji.
Mbaya sana hii kitu, kudhalilishana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom