Watanzania tustuke, hii CCM siyo kitu cha kawaida

Watanzania tustuke, hii CCM siyo kitu cha kawaida

Joshua justine

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
788
Reaction score
1,015
Waslaam,
Kuna mdau mmoja humu kwa kweli kanitafakarisha sana, amesema nimnukuu,

" mlipoichagua ccm hamkujua kuwa ni zimwi"

Kwa kweli nimepata uono fulani kutokana na kauli yake hiyo! Nimejiuliza hiki chama ambacho ndani yake kina watu waovu tupu, ni chama cha aina gani hiki ? Yaani chama ili ukalie kiti cha uongozi utapata kibali juu ya kiti kwa kutenda maovu dhidi ya raia na nchi, ukitenda matendo mema kwa raia na nchi yako kiti kinakukataa.

Wote waliotenda mema ndani ya chama hicho walifikiri humo ni mahala sahihi pa kufanya mema yaliyowapata wameshangaa na wengine wamekufa kabisa huku wakishangaa. CCM sio mahala pa kutendea mema, kile chama kimeshauzwa kwa shetani ( hatujui lini na ilikuwaje) lakini matukio yanadhihirisha hayo.

Waliokianzisha nadhani walikosea sehemu wakawac hia watu waovu wakawa wenyeviti wakasaini mikataba na shetani jumlajumla.

Watanzania wazalendo wanaong'ang'ania ndani ya chama hicho bila kuelewa kwa nn unaambiwa

" CHAMA KINA WENYEWE"

Wanapoteza muda wao tu humo, hakuna jambo jema unaweza kulitenda ukiwa humo sasa hivi. Kuna watu walisema hata malaika akiingia ccm anakuwa shetani hawakukosea kwa kweli.

" CCM NI ZIMWI"
 
mnakumbuka shuka kumekucha

Na nawaambia CCM haitokuja kutoka madarakani lbda kwa njia mbadala na njia hyo WADANGANYIKA kwa uoga wao hawatakuja kuifanya hiy njia mbadala
Tuombe MUNGU mkuu, mambo ni mazito kuliko maelezo nchi hii, ni Neema tu ya Mungu anatulinda,
 
mnakumbuka shuka kumekucha

Na nawaambia CCM haitokuja kutoka madarakani lbda kwa njia mbadala na njia hyo WADANGANYIKA kwa uoga wao hawatakuja kuifanya hiy njia mbadala
Mbona wewe umeji exclude?
 
42_609.jpg
 
Mm nsha jiondoa katika hii nchi ..sa hv nina serikali yangu ya kichwa changu sina raisi wala waziri ...najiongoza mwenyewe kazi kwenu WADANGANYIKAA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umejiondoaje wakati bado unapambana na hali za hapa nchini [emoji23][emoji23][emoji23] au umekana uraia?
 
mnakumbuka shuka kumekucha

Na nawaambia CCM haitokuja kutoka madarakani lbda kwa njia mbadala na njia hyo WADANGANYIKA kwa uoga wao hawatakuja kuifanya hiy njia mbadala
Kama wewe uko tayari lianzishe kama Hamza!
 
Mm nsha jiondoa katika hii nchi ..sa hv nina serikali yangu ya kichwa changu sina raisi wala waziri ...najiongoza mwenyewe kazi kwenu WADANGANYIKAA[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi sana, kila mtu ningependa aichukue hiyo dhana kichwani, kila mtu ni serikali inayojitegemea, heshimu kila anayekuheshimu, anayekupa vita naye unampa, yeye kama ana bunduki basi wewe hata manati inatosha kuonyesha umeshiriki vita ya kutafuta uhuru wa kweli.

Usishiriki hata kulipa kodi za serikali, jitahidi kukwepa, jitoe kwenye mifumo ya kiserikali.
 
Back
Top Bottom