Enyi walimwengu
Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana.
Angalizo
kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo watakaotupa ukweli wa mahusiano aliyoyavunja Mwenda zake JPM . Vingenevyo tuache uongo chuki na fitina zisizojenga taifa letu.
1. Mtupe majina ya nchi Na jumuia za Kimataifa tulixovunja mahusiano ktk awamu ya JPM Na mwaka tuliouvunja uhusiano huo.
2. Mtwambie ni marejesho gani yanayofanyika sasa ya mahusiano ambayo awali aliyavunja Magufuli?
3. Mtwambie MIKOPO iliyokopwa kipindi cha JPM ilikopwa kutoka taasisi Na jumuia zipi za kimataifa ambazo kwa sasa mnakopa yeye alishindwa?
4. Ziara zilizofanywa Na viongozi wa mataifa mbali mbali kutoka nje ya nchi kuja tanzania walikuwa wakija Na kusaini mikataba Na JPM haikuwa sehemu ya mahusiano ambayo sasa kitakwimu hayapo?
5. Ni nchi ngapi zilifunga balozi zake hapa nchini kutokana na kuvunjika kwa mahusiano Kati yetu Na wao kipindi cha JPM?
6. Tanzania ilifunga balozi ngapi nje ya nchi Baada ya JPM kuingia madarakani Na baada ya kuondoka kwake sasa zimefunguliwa?
Vinginevyo kaeni kimya mwacheni mama Samia atimize wajibu wake kwani ndiye rais wetu Na Mwenye dhamana kwa sasa Na ni wajibu wake kuleta maendeleo ya taifa hili.
Uongo ni dhambi Na kumsingizia Marehemu uongo ni dhambi kubwa mbele ya mwenyezi Mungu.