Vita ya CCM chotara na CCM walowezi: Nani alirudisha Chama kwa wananchi?

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF

Japokuwa Kiroboto anapigana kivyake kwa kutokubaliana na mambo fulani fulani yanayoendelea ndani na nje ya serikali mbali na maudhui yake ya kununua machawa toka upinzani, angalau bado ana kauzalendo kalikokuwa kamemezwa na mapapa ya CCM Asilia ambao kazi kubwa ni kuhakikisha wanatafuta mali ya chama na mali ya umma.

JPM (Hayati) kumchagua Bashiru (M-cuf) na Msando (m-Act) kwenda kuhoji na kujua wapi mali za CCM zilipo, halikuwa jambo lepesi vile, maana huko walikuta shule za wazazi zimeliwa vichwa tena na mawaziri wazito wamehusishwa, ikazimwa kimya kimya baada ya Bulembo kugoma kukaguliwa na M-Cuf na M-Act, haikuishia hapo, yule aliyejinadi kuitoa CCM pangoni naye akakutwa na magari mawili ashabadrisha miliki, (vuvuzela) wa bao la mkono.

Kiroboto na M-cuf wamefanya mambo mengi mazuri, CCM inaweza kuwa chama tajiri , hii imepunguza machawa wengi wa lumumba kuzingira mali ya CCM na mali ya serikali. CCM imeweza kuwa na Otis nzuri sana, na kununua magari ya hadhi, viwanja vyote vilivyokodiwa au kuuzwa kinyemela vimelejeshwa. Tofauti, ni kwamba ile orodha ya majizi aliyoahidi JPM hakuitoa, hivyo CCM chotara wakakwama

HP Kitoboto na Bulembo kama wamekutana na wasiingiliwe na mtu yeyote kwenye mazungumzo, bado namwona Kiroboto ana hoja mzito kuliko Tapeli aliyejimilikisha mali ya CCM ambayo imechangiwa na watanzania wote.

Ujio wa serikali mpya unaweka mwanya mkubwa wa CCM maharamia kurejea kwa kasi kuchukua walichonyanganywa na kumaliza kabisa yaliyoachwa. Hp simamia haki, hata uiite majina gani wewe pambanabuskije ukatoka kwenye viete umerudi kwenye Vits.
 
Hiyo ripoti ni siri?
Chama kama kinaanzia mashinani iweje Mali zisijulikane kuanzia mashinani
 
CCM ni Chama maiti, kununua watu, wizi wa masanduku ya kura na kupita bila kupingwa ni UHAINI, na hakuwezi kuirudishia Dead Party uhai.
 
Wana JF

Japokuwa Kiroboto anapigana kivyake kwa kutokubaliana na mambo fulani fulani yanayoendelea ndani na nje ya serikali mbali na maudhui yake ya kununua machawa toka upinzani, angalau bado ana kauzalendo kalikokuwa kamemezwa na mapapa ya CCM Asilia ambao kazi kubwa ni kuhakikisha wanatafuta mali ya chama na mali ya umma.

JPM (Hayati) kumchagua Bashiru (M-cuf) na Msando (m-Act) kwenda kuhoji na kujua wapi mali za CCM zilipo, halikuwa jambo lepesi vile, maana huko walikuta shule za wazazi zimeliwa vichwa tena na mawaziri wazito wamehusishwa, ikazimwa kimya kimya baada ya Bulembo kugoma kukaguliwa na M-Cuf na M-Act, haikuishia hapo, yule aliyejinadi kuitoa CCM pangoni naye akakutwa na magari mawili ashabadrisha miliki, (vuvuzela) wa bao la mkono.

Kiroboto na M-cuf wamefanya mambo mengi mazuri, CCM inaweza kuwa chama tajiri , hii imepunguza machawa wengi wa lumumba kuzingira mali ya CCM na mali ya serikali. CCM imeweza kuwa na Otis nzuri sana, na kununua magari ya hadhi, viwanja vyote vilivyokodiwa au kuuzwa kinyemela vimelejeshwa. Tofauti, ni kwamba ile orodha ya majizi aliyoahidi JPM hakuitoa, hivyo CCM chotara wakakwama

HP Kitoboto na Bulembo kama wamekutana na wasiingiliwe na mtu yeyote kwenye mazungumzo, bado namwona Kiroboto ana hoja mzito kuliko Tapeli aliyejimilikisha mali ya CCM ambayo imechangiwa na watanzania wote.

Ujio wa serikali mpya unaweka mwanya mkubwa wa CCM maharamia kurejea kwa kasi kuchukua walichonyanganywa na kumaliza kabisa yaliyoachwa. Hp simamia haki, hata uiite majina gani wewe pambanabuskije ukatoka kwenye viete umerudi kwenye Vits.
Screenshot_20211216-084130_Lite.jpg
 
Wahuni wanajulikana ni wezi na mafisadi. Wanawanyonya wananchi. Sote kwa pamoja tuseme #kataawahuni.
 
Back
Top Bottom