"Wife of Ancaeus"

"Wife of Ancaeus"

Heavy equipment

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,456
Reaction score
1,011
Wakati wa jaribio la mauwaji ya lisu, ulisafiri mpaka hospital kule kenya kwenda kumpa pole Tindu lisu

Ulipofika huko hospital nairobi ulimkumbusha lisu kwamba ili mambo hayo yasiendelee kutokea anatakiwa "Awe na heshima na kuzifuata sheria za nchi?

"Wife of Ancaeus, kauli uliyoitoa kwa mboye imetoa picha ya mambo mabaya yaliofanyika katika ardhi ya Tanzania.
Matukio hayo yaliratibiwa utawala na mfumo ambao umbao na wewe upo ndani yake.

"Wife of Ancaeus", kumbe wakati unampandisha cheo jaji katikati ya kesi ikiwa inaendelea ilikuwa unajua lengo lenu nikutaka muheshimiwe

"Wife of Ancaeus" kauli uliyoitoa imeanda na kupokelewa na viongozi wengine wenye mamlaka za juu za kiserikali ambapo kauli hiyo uliyoitoa inawapa nguvu kuendelea kuwa tesa raia wasiokuwa na hatia.

Tanzania yetu imeshakuwa nchi yenye makaburi sasa wewe kama "wife of Ancaeus" unatakiwa uchague nini cha kupanda kwenye hayo makaburi yalioanziswha na nyie mliopo madarakani

Kimbuka "Hauwezi kupanda miti makaburini ila unaweza kupanda maua, sasa Unachohitaji kujua ni maua gani utapanda, ndio maana mwenzako aliyeondoka alisema hawezi kufukua makaburi

Yule mwenzako siyo kwamba alishindwa kufukua makaburi ila alikutana na miti mingi na mikubwa ilyooteshwa na kustawi kwenye makaburi hayo.

Sasa kama "wife of Ancaeus" nakushauri ni vyema ukate hiyo miti iliyoko makaburini ili upande mauwa mazuri maana mauwa yanaota haraka na kupendeza kuliko hiyo miti

[emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578][emoji3578]
 
Back
Top Bottom